Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..

Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?[emoji4] pole
Sasa ndio umeandika nini? Mzee wako aliunguza ada kwakweli
 
Kalamu1, Kuna wengi kama hao kweny chama hicho na chama Kile, kama akina Lema, Sugu, Halima nk ..., kwa hivyo msishangae watu wa aina yake ni wengi sina kila sehemu.
Ninakubaliana nawe kuhusu kuwepo na waigizaji wa aina hiyo katika vyama vya siasa vyote hapa Tanzania.

Kuhusu hao uliowataja sijui kama nao ni waigizaji kama huyu anayezungumziwa hapa. Baadhi ya hao wameonyesha uimara wao katika wanayoyaamini na hawakutetereka walipojaribiwa kwa njia mbalimbali zikiwemo za mateso. Uigizaji wa hawa utakuwa na kitu cha ziada zaidi ya kuwa waigizaji wa kawaida tunaowaona, hasa wakiwa ndani ya CCM.
 
Fungua macho, wengi wapo Chadema. Na hao niliowataja hawana uimara wowote, ila wao waajiriwa wa mbowe, hawana Nationalism na loyality yao ni kwa mtu binafsi na sio chama wala taifa. Labda useme uimara wa ajira na bosi wao
 
Unapoandika mambo mazito kama haya utaonekana mpuuzi kama huweki uthibitisho wa hayo unayoyaandika.

Mtu mwenye akili unabwatuka bila ushahidi wowote kwamba watu ni "waajiriwa" wa mtu fulani, na kwamba hawana 'nationalism', umewapima kwa kipimo gani cha hiyo 'nationalism' unayoizungumzia. Ushahidi wake ni upi?
Huyo anayeongelewa kwenye mada hii, na hao wengine kwenye mashati ya kijani kipimo cha 'nationalism' yao ni kipi?
 
Sasa ndio umeandika nini? Mzee wako aliunguza ada kwakweli

Webwe achana na mimi.. wewe hujui kusoma na kuelewa.. nje ya boksi utaisikia tu kwa mbali.. kuandika ya Mzee wangu.. ungejua.. ungetamwani awe wako..
 
Walijizolea sifa nyingi na heshima kubwa kama kijana mwanamapinduzi wakati wa ule wa Tume ya Katiba.

Sasa hivi hana lolote... hajulikani kama ni mzee ama kijana na jina cha Chakubanga limemfaa sana!! Hongera kwake aliyempachika.
 
Leo amepewa shavu CCM anawabania hadi watu wasiende kugombea. Ama kweli mchawi mpe mwanao akulelee.
Huyu jamaa haijui CCM vizuri....atakwenda kwao kulima viazi!!
Amuulize makamu Mwenyekiti wake Bara yaliyomkuta...hadi Uwenyekiti wa Serikali ya mtaa ikashindikana kuupata mchezo...kaa nalo mbali hili chama kwa fitna ni home ground.
 
Huyu jamaa haijui CCM vizuri....atakwenda kwao kulima viazi!!
CCM ya sasa ni ya Magufuli. Hawezi kurudi kwao unless Magufuli afe au hadi 2025 incase asipojiongezea muda.
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Ndiyo maana ninaamini wapo tayari hata kukutoa roho ili wasiachie madaraka. Manake kama upinzani ukiingia huyu atasema nini sasa kwa statement yake hii! Hovyo kabisa!
 
Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..

Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?[emoji4] pole
Aisee...eti naye huyu ni kada wa kijani...na analipwa buku Saba.
 
Back
Top Bottom