Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

Ulitaka Lissu amuue yule mtu wa Chato ambaye alikuwa walking carcass?
 
Rais mjinga kweli alikuwa, hawezi kupanga hata assassination, yaani unamuua mbunge kwa kujaribu kumpiga risasi? Tena mchana? Tena kwenye viwanja vya bunge? Tena mbele ya Camera?
 
Una ushahidi alikufa kifo cha kawaida?
 
Mbona haelezi namna Wazanzibar walivyouliwa na babu yake kisa tu akihofia wasomi kama Kassim Hanga na wengine walivyokufa kifo kibaya.

Anatumwa na watu kumtukana Magufuli bila sababu wakati babu yake alifanya ukatili wa wazi kabisa na kuua watu huko Zanzibari.

Hapo alipo hana mikono misafi kabisa maana familia yao imejaa dhambi na ukatili.
 
Ndiyo maana aliposema Lisu apigwe risasi ili auwawe walitii pia. Lilikuwa kumtii Mungu pia?. Soma hii uelewe.
Tito 3:1
[1]Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa wenye uwezo na mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema.( kuwa tayari kwa kila kazi njema) Swali kupiga LISU risasi ilikuwa kazi njema?. Acheni kupotosha maandiko
 
She is speaking the truth that annoys most of the pro Magufuli's legacy worshipers..

And again, I am very impressed with shangazi's dictation and articulation of her English Language..

Her accent is just like of the language owners - the British...
I am one among the annoyed ones! Why would she speak the truth behind Magufuli's back?

Why did Fatma hesitate to face Magufuli and tell him that his regime had dragged the country back to the dark ages?

She said she was brought up in the democratic home why did she fear Magufuli?

Why does she speak the truth now?
 
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Huyo kahaba mwenzako mbona haelezi namna babu yake alivyomuua Kassim Hanga na kwenda kumtupa baharini? Anabakia kumsingizia Magufuli. Acha ushabiki wa kishoga utavuliwa chupi sana.
 
Anashindwa kuangalia boriti ya macho yake Kwanza.

Huyu ni mhuni tu. Kataa wahuni.
 
Rais mjinga kweli alikuwa, hawezi kupanga hata assassination, yaani unamuua mbunge kwa kujaribu kumpiga risasi? Tena mchana? Tena kwenye viwanja vya bunge? Tena mbele ya Camera?
Kichaa wa kutoka Chato anamtumia mshamba kutoka Kolomije kumuua Tundu Lissu. Mshamba wa Kolomije ni Zero Brain ndiyo maana walifeli
 
Wewe ni mpumbavu si bure!
 
Kichaa wa kutoka Chato anamtumia mshamba kutoka Kolomije kumuua Tundu Lissu. Mshamba wa Kolomije ni Zero Brain ndiyo maana walifeli
Babu yake Fatma ameua watu wengi sana huko Zanzibar na yeye akauliwa kama nzi
 
Babu yake naye alipenda pisi nyeupe akazichukua kwa Nguvu, kile kisiwa hakikuwa na katiba kiliendeshwa kwa Amri za Rais
 
Kwani na wewe umekatazwa kuzunguka duniani kueleza ukatili wa babu yake dhidi ya Wazanzibari?

Kwani Fatma Karume ndiye aliyesababisha babu yake afanyie ukatili Wazanzibari?

Kwani ikiwa babu yake kafanyia ukatili Wazanzibari, hilo linaondoa ukweli atakaousema kuhusu Magufuli?
 

Yeye kaweka ukatili wa Magufuli hadharani, ni juu yako ww kuzunguka duniani kuweka ukatili wa babu yake, au kukanusha kuhusu ukatili aliokuwa anaufanya Magufuli.
 
shangazi kaongea ukweli mtupu hata kama kuna watakaosema ana matiti marefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…