Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

Anazani watanzania ndyo watamuelewa?? aliye tu na uhakika hata akigombea leo na huyo anaemponda wtu watachagua kivuli kuliko yy
Nchi Ina wajinga wengi na mwingine ni wewe Top TZ , lazima muchague kivuli kwa upumbavu wenu
 
Asante kwa kutupakulia Mkuu
 
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
zitto junior JokaKuu Yoda mijadala ya aina hii ina manufaa kweli au ni kuendeleza mapambano na asiyekuwepo kwenye majukwaa ya wahisani ?
 
Hivi wewe mjinga unajuwa watu tunefiwa na ndugu zetu kwa COVID 19 kisa ubishi na wendawazim wa Magufuli?
 
zitto junior JokaKuu Yoda mijadala ya aina hii ina manufaa kweli au ni kuendeleza mapambano na asiyekuwepo kwenye majukwaa ya wahisani ?
Hivi vitendo viovu lazima tuviweke wazi sasa kwa vile Magufuli akiwa hai angeweza kutuua kwa kusema ukweli. Tunataka yaliyokea kwa Magufuli kuwa Rais huku ni KICHAA yasije kujitokeza tena kwa kizazi kijacho.

Tuwapime watu akili, tuangalie medical history zao na ikibidi hata asili. Huyu Mrundi ametutesa sana
 
zitto junior JokaKuu Yoda mijadala ya aina hii ina manufaa kweli au ni kuendeleza mapambano na asiyekuwepo kwenye majukwaa ya wahisani ?

..kila mtu anajua kilichotokea.

..nadhani hakuna haja ya kubishana kuhusu nini kilitokea.

..we should come together as a nation kuangalia namna bora ya kuwafariji walioumizwa.

..ningependa wachangiaji wanaotukanana ktk mjadala huu wavae viatu vya wazazi wa Ben Saanane.

..tujiulize wazazi wa Ben Saanane wanaamkaje, wanashindaje, na wanalalaje?

..Kabla ya ku-post tuwafikirie mke, watoto, na wazazi wa Azory Gwanda. Hivi tumewaona jinsi walivyo masikini? Na Azory ndio alikuwa tegemeo lao.

..Tukirudi kwa Fatma Karume, ofisi yake imepigwa bomu. Je, kilichotokea ni uungwana? Je, ni halali? Je, amepata haki yake?

..Je, Fatma ame-react kinyume na matarajio? Kwanini tunaona ajabu Fatma Karume kulalamika? Nini kifanyike ili Fatma Karume na wengine waliofikwa na majanga wasilalamike?

..Again, natamani Watanzania tuwe kitu kimoja na kushinikiza HAKI itendeke kwa wote walioumizwa.
 
Not sexism nor misogyny, but does she talk to her husband and their kids in the same hatred language?

Mbona Mimi sioni hiyo hatred language? Maana naona anasimulia yaliyomkuta.

besides the point; kwa nini washabiki wa jiwe wanapenda port wangu wa Chato aongelewe kwa mazuri yake na si mabaya yake? I thought ni vema kuwa balanced. Tukipenda kusikia mazuri tuwe tayari pia kusikia ya upande mwingine.
 
Excellent reflection. Wengi tunasahau kitu kimoja. Haki huwezi kuizika au kuipoteza hivi hivi. Hata ungefanyaje. Ndo maana mpaka leo tunawasoma viongozi wa calibre ya Hitler au Mussolini.

lazima tukubali ipo siku watoto au wajukuu wa wahanga wa haya matendo maovu waliyotendewa na utawala husika watadai haki. It could be in our lifetime or mda mwingine. Au kwenye platform nyingine. Leo Kuna watu walitenda makosa kipindi cha genocide Rwanda almost miaka 28….iliyopita bado wanatafutwa. Na hata haki isipopatikana Tanzania..itapatikana kwingine. Naamini mpaka leo Makonda na wenzake hawawezi kuwa na amani.

katika kuitafuta haki; mda ni mwalimu mzuri.
 
Hayo alikuwa anayasema akiwa kwenye mkutano wa ma lesib wenzake?
 
Siku Shangazi akitoka akaanza kuchambua maovu ya babu yake ntamuelewa...
 
Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21
View attachment 2241890
Huyu Mama anajitambua, upinzani wampe ubunge viti maalum 2025 anaweza kuwa na mchango mkubwa bungeni kama alivyokua Maria Sarungi kwenye bunge la Katiba
 
Ila maisha haya jamanii... Tuwe na akiba tu, dunia inazungunga.
 
Heko JokaKuu kwa kutoa dira ambayo iko very genuine. Kama viongozi wanapita humu basi waazime haya madini yako
 
Inashangaza jinsi anavyoongea kana kwamba anaongea na miungu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…