zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Yaani hawa jamaa toka mwanzo walishajua kuwa kitakuwepo na second wave ya corona. Kama ni hela watazipiga asee, maana katika hilo la kutengeneza ugonjwa wamefanikiwa.Ugonjwa wameutengeneze wenyewe kwa maslahi yao hata hizo chanjo ndio ilikuwa target yao ndo maana baada ya mda mfupi wameanza hiyo biashara