Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Ugonjwa wameutengeneze wenyewe kwa maslahi yao hata hizo chanjo ndio ilikuwa target yao ndo maana baada ya mda mfupi wameanza hiyo biashara
Yaani hawa jamaa toka mwanzo walishajua kuwa kitakuwepo na second wave ya corona. Kama ni hela watazipiga asee, maana katika hilo la kutengeneza ugonjwa wamefanikiwa.
 
Leo hii Mbowe baada uchahuzi kuisha ndio anapiga kelele za corona,sawa lakini muda mwengine usiangalie mtu anafanya nini bali angalia nini anasema.
 
Hao unaowaita wazungu ndio wamechangia gharama za utafiti uliopelekea hizi chanjo zipatikane. Wao ndio waliweka oda mapema hata chanjo haijapatikana. Na pamoja na juhudi zao, kiasi cha chanjo hakitoshelezi mahitaji yao. Kama hautaki kuwa wa mwisho ungechangia gharama au ungetafuta chanjo yako mwenyewe.

Amandla...
Sasa tukija na za kwetu mnaziponda, eti hazina viwango na mnapenda za wazungu. Sijui kasumba hii itaisha lini.
 
Hiyo approach yake ya kusema Ukweli ili sijui watu wajue ukubwa watatizo watusaidie haina mashiko, Mpaka sasa hakuna Taifa hata moja ambalo limeweza kujisaidia lenyewe sasa huo msaada tungeupata kutoka wapi?

Hata hizi sarakasi za chanzo ni questionable na nina side na President Magufuri, the world is quite ignorant of what brought this deadly deseases? what cures it, etc alafu eti wanadai kuna chanjo.

Yaani chanjo inapatikana kabla ya Dawa? imeishawahi tokea hii?
Very simple , rudisheni hela za corona mlizopewa
 
Mkuu huyu mwamba, binafsi nilisha mpa jina Kama baba wa taifa wa pili,Kama anamadini,huwa sio ya dunia hii,viwango vyake ni vya juu Sana, hakuna prof atatia mguu KWA mwamba mbowe,ujengaji wa hoja zake sio wa kitoto,
Alafu utasikia kuongoza ni elim kubwa dhubutu nani kamwambia,
Mh lissu sio prof wa sheria ila maprof wa fani yake wakimsikia wanatetemeka, mungu ibariki chadema Sana ,viongozi, na wanachama wote ,wapo sehem sahii
Amina
 
Sisi nyungu tuu. Acha wachanjane mpaka waone raha. Tanzania hatutaki chanjo. Tunatumia dawa za asili. Mbona mabeberu wanatulazimishia hawa machanjo. Yana nini? Mbona hatulazimishii teknologia???????? Hawa makuku meupe yana shida.
Mfuasi wa kibwetele katika ubora wako !
 
Mbona hiyo link haifunguki? Nikibonyeza inanipeleka kwenye manukwaa
 
Sisi mamilioni wa watanzania tuko nyumba ya Jemendari wetu Kandari in chief mwanasayansi na bingwa na kiboko wa Vibaraka na Corana.nae ni DR.JPM Live long our President
 
Sasa mzee nchi za dunia ya 3 mnataka mpewe 1st priority kwenye dawa hivi iyo kitu inaingia akilini .
Ndio maana mnaabiwa msifikiri wazungu wanaipenda kihivyo. Waafrika inabidi kujitambua kama atakaye tukimbilie pale tukiwa na matatizo yetu.
 
Sasa tukija na za kwetu mnaziponda, eti hazina viwango na mnapenda za wazungu. Sijui kasumba hii utatusha lini.
Hamna atakae kukataza kuzitumia. Kwanini uruhusu kelele za vyura zikuzuie kunywa maji? Ni kama vile hamna mtu anaekulazimisha kwenda hospitali ukiugua wakati njia mbadala kama za maombi au za maprofesa wetu zipo. Ni uamuzi wako tu. Kama ulivyo wa kupanda vi eiti badala ya punda.

Amandla...
 
Ugonjwa wameutengeneze wenyewe kwa maslahi yao hata hizo chanjo ndio ilikuwa target yao ndo maana baada ya mda mfupi wameanza hiyo biashara
Wametengeneza ili wajiue halafu watafute kinga ili wasife! Kweli wanastahili kuitwa mabeberu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom