Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #101
Uongo utakusaidia nini wewe masikini ?Au hufuatilii hzo research centers zimepiga hatua gan, au huamin kitu cha waafrica wenzako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo utakusaidia nini wewe masikini ?Au hufuatilii hzo research centers zimepiga hatua gan, au huamin kitu cha waafrica wenzako?
Hujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.Au hufuatilii hzo research centers zimepiga hatua gan, au huamin kitu cha waafrica wenzako?
It seems u r capacity of philosophies issue is lower just like a zombieLike I said, stupid as stupid goes. Na kuandika c badala ya see na bse badala ya because prooves my point.
Amandla...
Naona unazungumzia usimamiz wa juu, hujasema ila umelenga hvooHujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.
Nimekuuliza hivi.
Kwani wapi nimesema rais ana majukumu ya kuangalia research centers tuu?
U? R? Capacity of philosophies? Lower just ?Achana na kiingereza kijana. Hukiwezi.It seems u r capacity of philosophies issue is lower just like a zombie
Kulikuwa na uchaguzi?Hivi chama cha jamaa huyu smati kilipata wabunge na madiwani wangapi uchaguzi wa 2020? Ahahahahahahah!
Tundu Lissu alikuwa anafanya nini wakati anazunguka nchi nzima? Mbowe alikuwa anafanya nini Hai kipindi hicho?Kulikuwa na uchaguzi?
Mpuuzi wewe sukari, vifaa vya ujenzi vipo juu kwa wote, baki kushangilia ujingaTundu Lissu alikuwa anafanya nini wakati anazunguka nchi nzima? Mbowe alikuwa anafanya nini Hai kipindi hicho?
Ukiendele hivyo utaolewaU? R? Capacity of philosophies? Lower just ?Achana na kiingereza kijana. Hukiwezi.
Amandla...
Angalau sasa umerudi kwenye lugha unayoijua.Ukiendele hivyo utaolewa
Trust no oneUwezo mdg wa kuelewa 😂😂, huo mkataba baba laooo, hata mtoto wangu wa wa 2 aliuelewa na akasema Magu is the greatest leader
Tununue dawa tena ? Kwan kule Madagascar nini kiliendelea !We unadhan Rais anamajukum ya kuaangalia research centers tuu😂😂, hiyo n moja wapo that's why anawahimiza wafanye juu chin chanjo na tiba vipatikane tz na siyo tununue chanjo ya sh 104+ trion
Ni likizo ya mwaka?Hapana alikuwa yuko likizo na sasa yuko shinyanga likizo imeisha
Corona ina umri wa mwaka moja na miezi kadhaa tokea azaliwe hapa dunia, Ni utafiti upi wa kitaalamu tuliofanya kuhusiana na chanjo au tiba?Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.View attachment 1688353
Wazungu wameamua kutowa chanjo huku wakiwa bado wanaendelea na utafiti. Watu wengi wamepoteza maisha huko kwao, ndio maana hawana muda wa kusubiri mpaka dawa zikamilike. Kwa sasa wanasema wamejiridhisha kama hizo chanjo zinafanya kazi kwa asilimia 60-90% Japo hakuna ushahidi wa kutosha kama 60-90% ni kweli au la, maana kuuna wengine wanapinga na kusema chanjo zinafanya kazi kwa asilimia 30% tu.Corona ina umri wa mwaka moja na miezi kadhaa tokea azaliwe hapa dunia, Ni utafiti upi wa kitaalamu tuliofanya kuhusiana na chanjo au tiba?
Hayo Maneno ya Tanzania kusubiri kujiridhisha ni yako au ni ya Serikali ?Wazungu wameamua kutowa chanjo huku wakiwa bado wanaendelea na utafiti. Watu wengi wamepoteza maisha huko kwao, ndio maana hawana muda wa kusubiri mpaka dawa zikamilike. Kwa sasa wanasema wamejiridhisha kama hizo chanjo zinafanya kazi kwa asilimia 60-90% Japo hakuna ushahidi wa kutosha kama 60-90% ni kweli au la, maana kuuna wengine wanapinga na kusema chanjo zinafanya kazi kwa asilimia 30% tu.
Kwa Tanzania, tunachotaka ni kujiridhisha kama hizo chanjo hazina madhara ya muda mrefu kwa wananchi na zina nini humo ndani, hatuwezi kukubali ya kuambiwa tu lazima na sisi tuwe na uhakika.
Mwakilishi wa serikali amelizungumzia.Hayo Maneno ya Tanzania kusubiri kujiridhisha ni yako au ni ya Serikali ?