Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Video: Freeman Mbowe ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao , Asante Mungu kwa zawadi hii

Au hufuatilii hzo research centers zimepiga hatua gan, au huamin kitu cha waafrica wenzako?
Hujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.

Nimekuuliza hivi.

Kwani wapi nimesema rais ana majukumu ya kuangalia research centers tuu?
 
China wanatoa chanjo mpya bure hawa ni marafiki zetu 😂
 
Attachments

  • IMG_3465.MP4
    6.5 MB
Hujajibu swali nililokuuliza, na ulilojibu sijakuuliza.

Nimekuuliza hivi.

Kwani wapi nimesema rais ana majukumu ya kuangalia research centers tuu?
Naona unazungumzia usimamiz wa juu, hujasema ila umelenga hvoo
 
Uwezo mdg wa kuelewa 😂😂, huo mkataba baba laooo, hata mtoto wangu wa wa 2 aliuelewa na akasema Magu is the greatest leader
Trust no one

Mwalimu wako wa primary alipokufundisha 1 + 1 = 2 , na ukaamini kweli nikijumlisha 1 na 1 utapata 2. Je akikumbia alikufundisha kwasababu aliona uwezo wako wa uwelewa ni mdogo utamkatalia ?
 
We unadhan Rais anamajukum ya kuaangalia research centers tuu😂😂, hiyo n moja wapo that's why anawahimiza wafanye juu chin chanjo na tiba vipatikane tz na siyo tununue chanjo ya sh 104+ trion
Tununue dawa tena ? Kwan kule Madagascar nini kiliendelea !
 
Mbowe anaongea kama mtu aliyekata tamma na hawezi kwenda mbele mpaka apate msaada. Majuzi rais Magufuli alisema ni aibu kwa taifa kushindwa kutengeneza dawa zake zenyewe, leo tunaona mgawano wa chanjo ya Corona duniani, Afrika haitapata chanjo za kutosha mpaka 2023 pale wazungi watakapo maliza kuchanjana.View attachment 1688353
Corona ina umri wa mwaka moja na miezi kadhaa tokea azaliwe hapa dunia, Ni utafiti upi wa kitaalamu tuliofanya kuhusiana na chanjo au tiba?
 
Corona ina umri wa mwaka moja na miezi kadhaa tokea azaliwe hapa dunia, Ni utafiti upi wa kitaalamu tuliofanya kuhusiana na chanjo au tiba?
Wazungu wameamua kutowa chanjo huku wakiwa bado wanaendelea na utafiti. Watu wengi wamepoteza maisha huko kwao, ndio maana hawana muda wa kusubiri mpaka dawa zikamilike. Kwa sasa wanasema wamejiridhisha kama hizo chanjo zinafanya kazi kwa asilimia 60-90% Japo hakuna ushahidi wa kutosha kama 60-90% ni kweli au la, maana kuuna wengine wanapinga na kusema chanjo zinafanya kazi kwa asilimia 30% tu.

Kwa Tanzania, tunachotaka ni kujiridhisha kama hizo chanjo hazina madhara ya muda mrefu kwa wananchi na zina nini humo ndani, hatuwezi kukubali ya kuambiwa tu lazima na sisi tuwe na uhakika.
 
Hayo Maneno ya Tanzania kusubiri kujiridhisha ni yako au ni ya Serikali ?
 
Back
Top Bottom