Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
hii nimeipenda mkuu,mimi huwa kila siku nasema siwezi kumpiga Mwanamke kisa amechepuka ila watu humu wananipinga wanasema nisubiri ndoa ndio nitaelewaLucas Mobutu ,kuna mwingine alivyofumania aliwaacha tu akapita zake,zikpita siku2 Bilal kusemeshana na mkewe, akanunua panga jipyaa,akawa anahakikisha analinoa kila siku asubuhi mbele ya mkewe,akimaliza Kulinoa analiweka Chini ya mto,kwa kipindi cha week moja mkewe alifungasha virago mwenyewe,Jamaa alishtuka anapigiwa simu na wakwe zake,alipofika ukweni,akawaambia mtoto wao awasimulie kilichotokea,wife alishindwa,wkaachana mazima
😅🤣🤣
Ntakurukia..
Tena huyo aliepigwa akipata wakili mzuri huyo mke atajua nini dunia. Fidia ya maana mjinga huyoHivi hawezi kushtakiwa kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili?!
Mkuu unawaza mbali sana😂 ila hata kama jamaa hakupaswa kumleta demu kwenye nyumba yake na Mkewe na wana watoto kabisa,msela hana adabu na hiyo dhambi itamtafunaUtakuta hata ananuka K ndo maama mme anachepuka.
Af inavyoonekana anajua tabia ya mumewe, sjui kamshindwa ndio anaamua kuwaonea hao wanawake.Na hapo bado kuna hiyo namba inayoishia na 26 ambyo sio yake. Sasa atapiga wangapi? Mwisho akutane na kiboko yake atenguliwe kiuno.
Atafute mwanasheria amfungulie huyo mwanamke mashtaka kwa kumpiga na kumdhalilisha.
kasinde dear ulikuwa wapi ? ulipotea sana nime miss vituko vyakoUnapenda ndondi eeehhh, ngoja zamu yako ifike aahahahahaa
Hivi hawezi kushtakiwa kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili?!
Kupiga unaweza ukaangusha mtu akazima burpee,ikaja kesi Mpyaa au kuozea segerea,unaacha watoto wako wanateseka,isitoshe hao uliowafumania wakaendelea vizuri tu na life,UJASIRI NI KUPOTEZEAhii nimeipenda mkuu,mimi huwa kila siku nasema siwezi kumpiga Mwanamke kisa amechepuka ila watu humu wananipinga wanasema nisubiri ndoa ndio nitaelewa
yani nikioa afu Mwanamke achepuke naweza kutumia mbinu hii aondoke mwenyewe tu
Adili na mme wake...Mkuu unawaza mbali sana😂 ila hata kama jamaa hakupaswa kumleta demu kwenye nyumba yake na Mkewe na wana watoto kabisa,msela hana adabu na hiyo dhambi itamtafuna
Sio poa kabisa mkuu, kama vipi achana nae tu utulie na mkeo kabla haujapata kesi ya jinai.Ndio nawaza hapa,shida yote ya nini? Ngoja nimpunguze mdogo mdogo,sio poa kabisa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo nayofanya Mimi ni kibaharia..Unapenda ndondi eeehhh, ngoja zamu yako ifike aahahahahaa
Halafu unaongezea na kosa la udhalilishaji, inahuzunisha sana alichofanyiwa huyo mama, imagine watu wake wa karibu wakiona watajisikiajae? Na mpaka muda huu watakua washaona tayariHivi hawezi kushtakiwa kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili?!
Sijui tu siku hiyo utamfanyaje..😅Sio poa kabisa mkuu, kama vipi achana nae tu utulie na mkeo kabla haujapata kesi ya jinai.
Kwenye ishu kama hizo wanawake tunakuaga na reaction za ajabu af kuja kujutia ni badae na inakua too late.
Na wew umeiskia[emoji16][emoji16]hatari sana yule Manka[emoji28][emoji1787][emoji1787]
Ntakurukia..
Daah me bora unidunde nijue moja kuliko hyo kitu alimfanyia😂😂Lucas Mobutu ,kuna mwingine alivyofumania aliwaacha tu akapita zake,zikpita siku2 Bilal kusemeshana na mkewe, akanunua panga jipyaa,akawa anahakikisha analinoa kila siku asubuhi mbele ya mkewe,akimaliza Kulinoa analiweka Chini ya mto,kwa kipindi cha week moja mkewe alifungasha virago mwenyewe,Jamaa alishtuka anapigiwa simu na wakwe zake,alipofika ukweni,akawaambia mtoto wao awasimulie kilichotokea,wife alishindwa,wkaachana mazima