VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

Maskini nmemhurumia huyo anayepigwa, ila huyo mke badala adeal na mume wake anahangaika na mchepuko, sasa atawapiga wangapi kama mume mwenyewe ni mhuni... Hapo ndio tunakoseaga.
Ukute kwel alimwambia hana mke, naye akaamini.
Dah so sad
 
Huyo mama kama ni mtu wa Mungu mbona anapiga mtu hivyo ?
 
Cheiiiiii[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods ifuteni hiyo video kwa sababu hii..

WATOTO WAKE WAKIJA KUKUA NA KUIONA HIYO VIDEO MAMA YAO AKIPIGWA NA KUJITETEA NAMNA HIYO WATAHARIBIKA KISAIKOLOJIA NA WATATENGENEZA REVENGE KWA HUYO MAMA MPIGAJI.

Alafu huyo mama mpigaji amevunja sheria kosa la kumshambulia mtu, na hii video ni ushahidi tosha huko mahakamani.
 
Huyo mama anasema anawatoto 3, anatoka huko kuja kupigiwa ndani kwa mwanaume ambaye anamke, je kama angepigwa panga la kichwa, kwanini wasiende nyumba za wageni? Mke asilaumiwe sana mleta uzi mwenyewe mbona kila siku analia mmewe kamtetekeza acha wamdunde kwa kufanya umalaya wakipumbafu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Sasa badala adeal na mume wake muhuni anampiga dada wa watu dah, au ndiye mnnyonge wake, angejuaje kama ana mke kweli wakati kaambiwa hana?. Wanaume muwage wakweli bana ona sasa[emoji57]
Huyo mwanaume atampata wapi wakati kakimbia, na hapo angeachwa bila kupigwa angetamba kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Wewe humjui Mungu mfanyie yakumfanyia uone bakora zake, waulize watu wasodoma na gomora alichowafanya, au jeshi la farao

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Huyo mama mwenyewe kwenye hiyo video anakiri kuwa mme wake ni kicheche mbona anampiga mtoto wa watu hivyo wakati hali halisi ya mumewe anaijua ?

Nimemhurumia sana huyo mama anavyolalamika kwa vipigo dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…