Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
Kwa kosa gani?Hapo watu 116 walishakamatwa,
Lete mpyaYa zamani...!!!
Haijapatikana.Lete mpya
Nipo hapa, wasemaje?
Hapana mbona mzungumzaji anasema ndg zetu wameuawa sana..yaani tukio lile la 29 octYa zamani...!!!