stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Oya namimi niunge hapo in case kukiwa na amafaranga
Nmekuita tu mdogo wangu ili nijue kama unaheshama ama la.Nipo hapa, wasemaje?
kwahio maandamano ni online kumbeNmekuita tu mdogo wangu ili nijue kama unaheshama ama la.
Nimeamua kupumzika kwanza.kwahio maandamano ni online kumbe
Taarifa bila ya Picha ni Uwongo na Uzushi.Mwanza maelfu ya gen z wamesha jikusanya na wameanza mchaka mchaka na mabango wapo barabarani mda huu wanataka mabadiliko
Weka picha,achana na propagandaMwanza maelfu ya gen z wamesha jikusanya na wameanza mchaka mchaka na mabango wapo barabarani mda huu wanataka mabadiliko
Azitoe wapi? Wameshashikwa pabaya.Weka picha,achana na propaganda
Unachochea watoto wa watu wakaumizwe,Mwanza maelfu ya gen z wamesha jikusanya na wameanza mchaka mchaka na mabango wapo barabarani mda huu wanataka mabadiliko
😂TCRA ameshikilia kitufe cha mtandao. Kikinuka sehemu moja tu anakata mtandao