David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Walivyo wajinga na akili kisoda sasa hivi watazima mtandao
Mbona Yeye haandamani na anaishia tu kuwaleteeni Video Clips za maeneo mengine wakati tunamjua yuko Kwao Buguruni?Ingia katika alaunti ya Hilder Newton kwenye mtandao wa X.
Nshabeti kabisa tangu janaMkata Swichi amekaa chonjo 😁😁😁😂😂
Tulieni mambo ndio yanaanza, hata Mo29 mlianza kubeza kama leo ilipofika saa9 mkanyamaza.😄😄😄Hapo upo ndani,unajipa moyo na kujaribu kuwajaza gen z
Mkuu, pamoja na uchawa wako ila ndani ya nafsi unajua kbs watu wengi hawamtaki samuya...anatawala kwa mtutu wa bunduki tuu!😄😄😄Hapo upo ndani,unajipa moyo na kujaribu kuwajaza gen z
Umeambiwa ingia uone video unasema mbona yeye haandamani upo sawa kichwani au ndio umevaa shanga kiunoniMbona Yeye haandamani na anaishia tu kuwaleteeni Video Clips za maeneo mengine wakati tunamjua yuko Kwao Buguruni?
Tulia we 🌈 hakuna watu mtawatawala kiduwanzi kama wake zenu.Mwanza wapi hyo?
Mm nipo mwanza, mwanza ipi kuna maandamano?
Mimi nipo mwanza hakuna kitu kama hicho.maandamano hayapo.
Leo hakuna kupiga kura,mtapasuka kweli kweliTulieni mambo ndio yanaanza, hata Mo29 mlianza kubeza kama leo ilipofika saa9 mkanyamaza.
Uzuri maandamano hayana muda maalum wa kuisha hata usiku au kesho yanaendeleaHuko ndo wanaume wanapozaliwa
Mbeya tupo standby bado hawa wajinga polisccm wapo wengi kitaa
Tunaviziana wata net tu.
Watu uliwahesabu wapi?..mi nilikua naona nyomi kwenye mikutano yake ya kampeni kila mahaliMkuu, pamoja na uchawa wako ila ndani ya nafsi unajua kbs watu wengi hawamtaki samuya...anatawala kwa mtutu wa bunduki tuu!
Local CHannel zinagonga music tu mbona.Wekeni ITV mambo yameiva mwanza na Mbeya
siku magenzy wakubambe watakubomoa mbunye haswa!Nshabeti kabisa tangu jana
Ningekuwa siko sawa Kichwani ningeweza Kukuchapa nao wote?Umeambiwa ingia upne video unasema mbona yeye haandamani upo sawa kichwani
Kibwenyesiku magenzy wakubambe watakubomoa mbunye haswa!
Labda kama Samia hajipendi.Leo hakuna kupiga kura,mtapasuka kweli kweli