PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Simu za watu hazipatikani ukipiga haziiti ..nini shida kwani
 
Kwenye MO29 waliivua aibu ya wanaume wa dar,, waheshimu tafadhali,, ni dar pekee ndo ilisimama kwa vitendo kumkataa bibi yenu,, hukk kwingine walifuata baadae, so ukiona kobe kainama........malizia
Wanatunga sheria!
 
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako

epuka kuichoma nchi yako
 
Dah we mtu kwa kupenda maandamano sikuwezi. Basi ingekuwa wewe ndiyo umeaandamana ndiyo ushikwe.

Hapo roho yako imesuuzika kwatu
Screenshot_2025-12-09-13-27-40-54_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg


Anapost hadi videos za mwaka 2023. Hawa ndio waliolipwa zile bilioni 5 ili kuhamasisha maandamano.
 
Hii ndio hali huko Mwanza na clip ya vijana wakiandamana barabarani imeposiwa na Hilder Newton kwenye mtandao wa X dakika chache zilizopita ikiwa ni tofauti na ile ya vijana wakiongea mbele ya wanajeshi.
Hapa no Igoma na wana mabango kipindi kile hawakuwa na mabango
 
Back
Top Bottom