Mtu mmoja upo mwanza yote, yani eneo lote la mwanza umecoverMimi nipo mwanza hakuna kitu kama hicho.maandamano hayapo.
Mimi nadhani JWTZ wamesimamia vizuri leo,wananchi huwa wanavurugwa pale wanapoanza kushambuliwa.Maandamano yalipaswa kuwa hivi. Watu waandamane kwa amani wawasilishe ujumbe wao. Jeshi na askari wawalinde wachukue notes
Na atamaliza muda wake na wewe utakuwa umeshinda kwenye mitandao bila Friday yoyote.Hata ,marekani,sio wote wanampenda Trump.Mkuu, pamoja na uchawa wako ila ndani ya nafsi unajua kbs watu wengi hawamtaki samuya...anatawala kwa mtutu wa bunduki tuu!
Likewise.Unavyoshikwa wewe matako na mateja unafikiri watanzania nao wanashikwa hivyohivyo
Ahahaha utapata tabu sana mwagito.Kibwenye
Tabu au raha!?.. maana nna kutuAhahaha utapata tabu sana mwagito.
Tutapasuka na mmeanza kuminya mtandao. Subiri utaona ukweli utakaokupandisha sukari. Mpuusi ww. Hao wa kuwachezea chaguzi wameisha. Mjaiandae kuteka watu wengi zaidi.Leo hakuna kupiga kura,mtapasuka kweli kweli
Nipo kwenye maandamano mwenyewe hapa MWANZA .Ya zamani...!!!
sasa si uko kwenye maadamano shusha videoNipo kwenye maandamano mwenyewe hapa MWANZA .
Hii video niya sasa hivi
Mtandao umeminywa na umo humu?Tutapasuka na mmeanza kuminya mtandao. Subiri utaona ukweli utakaokupandisha sukari. Mpuusi ww. Hao was@@enge wa kuwachezea chaguzi wameisha. Mjaiandae kuteka watu wengi zaidi.
Video au picha kusupport haya unayosema iko wapi?Mwanza maelfu ya gen z wamesha jikusanya na wameanza mchaka mchaka na mabango wapo barabarani mda huu wanataka mabadiliko
Utaweza kuhimili mabolo hamsini ya genzy wenye hasira?Tabu au raha!?.. maana nna kutu
Umeona kwa Trump anajitangaza kwa kura ambazo hana, anaendesha magenge ya utekaji ili kutia hofu wamerakani? Umeona anaminya uhuru wa habari?Na atamaliza muda wake na wewe utakuwa umeshinda kwenye mitandao bila Friday yoyote.Hata ,marekani,sio wote wanampenda Trump.
waumizwe kwa kosa gan ?Unachochea watoto wa watu wakaumizwe,mbwa sana wewe
Kwani unafunguka kama unavyopaswa pamoja na vpn?Mtandao umeminywa na umo humu?
Sijui,peleka komwe barabaraniwaumizwe kwa kosa gan ?
Na una Kasi hatari,ukipost chapuKwani unafunguka kama unavyopaswa pamoja na vpn?
Kwahiyo mwanetu wewe upo buhogwaaMwanza wapi hyo?
Mm nipo mwanza, mwanza ipi kuna maandamano?