Mkuu, embu tutumie akili kidogo tu. Game ya mwisho kupigwa pale kwa Mkapa uliona nini kilitokea na ile mvua? Na umesoma sababu ya CAF kuzuia game kupigwa hapo ni ipi? Ni hali mbaya ya uwanja kipindi cha mvua.Hapa kuna namna nyingiii zinafanyika kumtoa simba mchezoni.
1.Taarifa imetoka siku moja kabla ya mchezo wa kwanza kufanyika.Hapa kuna namna.
2.Kwa mkapa imeonekana kuwa ni tishio sanaaa kwa timu mgeni.Hivyo simba asipatumie.
Simba ipambane game ipigwe kwa mkapa kwa namna yoyote ile.
Hizi ni hujuma za wazi
Tazama hali ya sasa Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika katika mechi ya Kombe la Shirikisho Simba SC vs RS Berkane
Hivi unaelewa??? Hata kama Mkapa stadium umezuiwa ni jukulu ma Simba kuchagua uwanja mwengine na sio kupangiwa, hata akisema akacheze huko huko kwa hao RS berkane ni sawalakini lazima huo uwanja uwe kwenye viwango vya CAF na FIFA. kwa MKAPA hapajafikia kiwango kinachotajkiwa ukizingatia mkandarasi badi yupo uwanjani anamalizia ukarabati na wakati huo mechi ni tarehe 25. Zile nyasi hazijakomaa, mvua ya Dar ikianguka tu zinang'oka na kuwa jaruba la Mpunga.
Wamepiga hapo zaidi ya billion 32 kina mwana FAHii shida yote inakuja kwasababu kuna viongozi na watu ambao hawako serious.Yaani ubabaishaji wa kiwango kikubwa.Ata kurekebisha uwanja tu tena ambao fedha zimeshatengwa nikiasi cha usimamizi tu hatuwezi.Tuna safari ndefu sana yakujisimamia.
Kanuni zinasemaje?Hawawezi kuaminiwa tena, kumbuka CAF waliukataa huo uwanja tokea awali kuchezewa katika mechi dhidi ya Al Masry lakini wakaja kuaminishwa kuwa uwanja umefanyiwa maboresho na waje kukagua. Kweli kimuonekano ukaonekana upo sawa ila mvua ilivyonyesha ukatia aibu ni kama wachezaji walikuwa wanacheza kwenye matope. Hivyo CAF wamejifunza kutokana na makosa hawatoamini tena kuhusu huo uwanja kwa kipindi kifupi hivyo.
Nakazia. Ni vile watanzania tunajisahaulisha tu. Uwanja uligomewa na CAF dhidi ya Al Masry. Kiujanja ujanja ukaruhusiwa. Mvua ikaja kutia dosari kwamba uwanja bado unahitaji marekebisho makubwa. Sio rahisi CAF kuamini propaganda zetu Watanzania.Hawawezi kuaminiwa tena, kumbuka CAF waliukataa huo uwanja tokea awali kuchezewa katika mechi dhidi ya Al Masry lakini wakaja kuaminishwa kuwa uwanja umefanyiwa maboresho na waje kukagua. Kweli kimuonekano ukaonekana upo sawa ila mvua ilivyonyesha ukatia aibu ni kama wachezaji walikuwa wanacheza kwenye matope. Hivyo CAF wamejifunza kutokana na makosa hawatoamini tena kuhusu huo uwanja kwa kipindi kifupi hivyo.
Laa Nal'ab abadan 🤣🤣🤣Kwa kiarabu unasemaje Hatuchezi ng'ooo?? 😂😂😂
Magori aliwahi kuwa na akili lini? Kwani Zanzibar siyo Tanzania? Mngeambiwa Tanzania nzima hamna uwanja unsokidhi vigezo mchaguwe nchi nyingine ingekuwaje?
Sawa na sio kumchagulia mtu. Wewe ndio huna akili.Magori aliwahi kuwa na akili lini? Kwani Zanzibar siyo Tanzania? Mngeambiwa Tanzania nzima hamna uwanja unsokidhi vigezo mchaguwe nchi nyingine ingekuwaje?
Kwani baada ya uwanja wa Mkapa kufungiwa, Simba alichagua uwanja upi kama uwanja mbadala kama ndiye uwanja wake wa nyumbani? Si ndio wao wenyewe wakauchagua Aman Complex. Sasa unataka CAF wafanye nini tena?Hivi unaelewa??? Hata kama Mkapa stadium umezuiwa ni jukulu ma Simba kuchagua uwanja mwengine na sio kupangiwa, hata akisema akacheze huko huko kwa hao RS berkane ni sawa
Ndo options zilizowahi kuwasilishwa CAF mwanzo wa msimu. Kumbuka mashindano ya CAF siyo yanaanza mwezi huu. Ndo yanaelekea mwisho kwa msimu huu. Ndo maana hata hatua ya nusu fainali mlikipigia Aman Complex dhidi ya Stella wa Kizulu.Hivi unaelewa??? Hata kama Mkapa stadium umezuiwa ni jukulu ma Simba kuchagua uwanja mwengine na sio kupangiwa, hata akisema akacheze huko huko kwa hao RS berkane ni sawa
Wewe una uhakika siku hiyo kuna mvua? Ni kazi ya timu zote kujiandaa ktk hali zote za hali ya hewa. Hata ulaya kuna siku timu zinacheza na barafu inatuaCAF wamesema wakati wa mvua.
Apige picha wakati wa mvua.
Hata Sokoine mbeya kabla ya mechi huwa ni green sana mechi ikianza ndio visa mikasa huanza
Berkane wamesema "hatuchezi hapo ng'0"
Hujui kitu weweKwani baada ya uwanja wa Mkapa kufungiwa, Simba alichagua uwanja upi kama uwanja mbadala kama ndiye uwanja wake wa nyumbani? Si ndio wao wenyewe wakauchagua Aman Complex. Sasa unataka CAF wafanye nini tena?
Kwani si walibadili tena!! Na ile ni kwa wakati uleKwani baada ya uwanja wa Mkapa kufungiwa, Simba alichagua uwanja upi kama uwanja mbadala kama ndiye uwanja wake wa nyumbani? Si ndio wao wenyewe wakauchagua Aman Complex. Sasa unataka CAF wafanye nini tena?
Baada ya Simba kuchagua huo uwanja huku Mkapa stadium ikiwa imefungiwa, hilo halikuanzia mwanzoni wa msimu bali kipindi hicho hichoNdo options zilizowahi kuwasilishwa CAF mwanzo wa msimu. Kumbuka mashindano ya CAF siyo yanaanza mwezi huu. Ndo yanaelekea mwisho kwa msimu huu. Ndo maana hata hatua ya nusu fainali mlikipigia Aman Complex dhidi ya Stella wa Kizulu.
Nyie siku hiyo hakuna mvua ila za ndaaaaaaani zinaonesha meneja mpya anaweza kumwaga maji ya kutosha kama kapombe kwenye pitchUtacheza wewe mbwa wao
Wewe una uhakika siku hiyo kuna mvua? Ni kazi ya timu zote kujiandaa ktk hali zote za hali ya hewa. Hata ulaya kuna siku timu zinacheza na barafu inatua
Yaani hilo la kwenye msitari wako wa mwisho umelifahamu leo?
Kwahiyo mnataka kila mara muulizwe mnacheza uwanja gani wakati tayari mechi iliyopita mlishaonesha uwanja gani mnautumia kama mbadala wake.Kwani si walibadili tena!! Na ile ni kwa wakati ule