VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

Hivi unaelewa??? Hata kama Mkapa stadium umezuiwa ni jukulu ma Simba kuchagua uwanja mwengine na sio kupangiwa, hata akisema akacheze huko huko kwa hao RS berkane ni sawa
Mbona hilo ni rahisi Mkuu, Uwanja wa Aman ni Simba wenyewe ndio walichagua kwa barua kama option baada ya Uwanja wa Mkapa kukosa sifa. Viongozi walikuwa wanabahatisha tu kuona kama CAF watabadili msimamo; lakini ukweli ni kwamba ilisha elekezwa uwanja kufanyiwa matengenezo makubwa hasa kwa ajili ya CHAN. Haiwezekani kabisa CAF kuichagulia timu uwanja.
 
Hivi una akili wewe? Kuchagua si lazima kwenye nchi yako, ni popote pale hata Rwanda.
 
Naona unaongea hisia tu, huelewesheki na hata sasa bado Simba ana nafasi ya kubadili hata kupelekea Rwanda
 
Simba si walipeleka taarifa kuwa watacheza Mkapa, sasa kama wao wanaona hufai ni rahisi tu tafuta uwanja mwingine. Sio kuamriwa chezea pale.
 
Yote hiyo wamesabisha serikali kwa ubadhirifu.
Jamaa walivyoona ile mechi ya kwanza uwanja upo kama wa nazareti Njombe wakati taarifa wanazo kwamba tumepewa pesa ya ukarabati b30 tumepewa, wakaona kmmmk wathenge hawapo serious hawa.
 
Anachagua Mwenyeji,ila baada ya kupitishwa na kukaguliwa na CAF. Kwa kifupi walio pewa jukumu la kuukarabati uwanja ndio walio zingua, kwani walikuwa na mda wa kutosha.
wanasema ukarabati haukuwa unahusisha pitch mkuu
 
Na wewe uliamini hivyo?
 
Simba wasikubali,na wasotokw mchezoni kwa mechi ya 1 hii.Ila kuna mkono wa mtu,na kuna watu wamechagiza kuzuia Simba kuchezea kwa mkapa kwamba hiwa wanashinda tu.
 
Tulipopigiwa mabomu kule kwao mlikua mnaona vitu vya kawaida. Haya muone hujuma hizo na mjifunze. Lakini pia malipo ni hapahapa duniani mlichekelea sana kuahirishwa mechi ya tar 8 sasa yanawakuta nyie mbuzi mawe kweli nyie
 
Simba wagomee fainali KWA ushahidi wa booking ya hoteli berkane kabla ya maamuzi. Hii itasaidia kusafisha soka kama no Reform inavyokusudia kuboresha chaguzi zetu.
Hii ni CAF sio bodi ya ligi ambao wanaweza kughailisha mechi kwa sababu ambazo ziko nje mchezo wa soka,hakuna wapumbavu CAF
 
Hivi unaelewa??? Hata kama Mkapa stadium umezuiwa ni jukulu ma Simba kuchagua uwanja mwengine na sio kupangiwa, hata akisema akacheze huko huko kwa hao RS berkane ni sawa
Uwanja wa Mkapa ulivyofungiwa wenyewe simba walichagua Amani stadium,marebisho hayajakidhi mnataka mkacheze wapi mbinguni?
 
Simba mcheze mpira,acheni majungu!kama ni ulozi pale zanzibar mbona Kuna majini ya kutosha kufanya kweli!!?
 
Uwanja wa Mkapa ulivyofungiwa wenyewe simba walichagua Amani stadium,marebisho hayajakidhi mnataka mkacheze wapi mbinguni?
Mechi ilitarajiwa kwa Mkapa, sasa kama wanaona haufai waseme wachague kiwanja. Historia ya kutumia uwanja haiwezi kuamua kiwanja cha kutumia.
 
Naona unaongea hisia tu, huelewesheki na hata sasa bado Simba ana nafasi ya kubadili hata kupelekea Rwanda
Kumbe wewe ni mjinga kiwango cha lami, unajua kwanini Simba wanalilia kwa Mkapa? wameangalia vitu vingi ikiwemo idadi ya mashabiki na la pili ndio uwanja uliopo Tanzania bara, sasa ingekuwa ni rahisi kupeleka mechi nje ya Tanzania si wangeshafanya hivyo dhidi ya Stellenbosch? Unaeleweshwa na kila mtu kuhusu jambo hilo moja ila ni jinsi unavyodhidi kutia aibu kwa kuonesha huna uwezo wa kuchanganua mambo
 
Wewe ndio mjinga, hukunielewa nilicho maanisha toka mwanzo, swala ni CAF kusema watumie uwanja fulani sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…