VIDEO: Halima Mdee na wenzake walivyopewa wasaa wa kuomba msahama Baraza Kuu CHADEMA

VIDEO: Halima Mdee na wenzake walivyopewa wasaa wa kuomba msahama Baraza Kuu CHADEMA

Covid 19 sijaona faida yao hawana nguvu ya kupiga wala kuongea saivi mjengoni, wapo sbb ya matakwa ya katiba ya kikoloni tuu.

CCM vs chadema hawawezi kukaa chungu kimoja hadi kiama
 
........

Mbowe anajua fika Chadema haiwezi kuchukua nchi kwahiyo hawezi kukubali eti watu wakose fedha za ubunge wakati wameshakisotea sana Chama. MBOWE NI MASTER MINDER

Alaaa ndio mana aliweza kumtoa hule mfungwa gerezani aende kuapishwa ubunge, pia akaimaliza kesi ya ugaidi kwa nock out. Sasa huyu master minder serikali imemshindwa kama ni hivyo
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Mhuni mwingine huyu. Sijui ni ester matiku huyu
 
Halima Mdee haitaji sympathy kutoka kwa yeyote. Alijijenga hadi akafika hapo na ana uwezo wa kujisimamia baada ya maisha ndani ya Chadema. Swali la wewe kujiuliza, unajisimamia?
Alijijenga?? Katolewa UD kama Matiko tu wakapewa ubunge wa viti maalum from nowhere na hadi wakawa powerhouses afu unasema kajijenga?? Hivi CCM unaweza tokea tu out of nowhere ukapewa ubunge?

Tukaneni mnavyoweza ila lazma mkiri Mbowe ame groom viongozi wengi sana vijana kwenye era ya vyama vingi. Huko CCM kwenyewe kuanzia Mkumbo hadi Shonza ni product za Mbowe from the scratch!!
 
Wangepiga kura za SIRI
CCM bwana!! Bungeni mlikataa kura za Siri kuamua katiba.... Bajeti mnapiga kura za wazi ila kwa CHADEMA ndio mmeona umuhimu wa kura za Siri??

Btw kama kura za wazi hamziamini kwanini kura za Siri mnaona ndio halali? Wasingesema masanduku yameongezwa?? Vp kuhesabu kura wangesema wakala wao alitimuliwa ingekuaje?
 
Alijijenga?? Katolewa UD kama Matiko tu wakapewa ubunge wa viti maalum from nowhere na hadi wakawa powerhouses afu unasema kajijenga?? Hivi CCM unaweza tokea tu out of nowhere ukapewa ubunge?

Tukaneni mnavyoweza ila lazma mkiri Mbowe ame groom viongozi wengi sana vijana kwenye era ya vyama vingi. Huko CCM kwenyewe kuanzia Mkumbo hadi Shonza ni product za Mbowe from the scratch!!
Kwahiyo Mbowe alimbeba tu na kumpa Ubunge wa Viti Maalumu akiwa hana potential yoyote? Na Chadema wakampa Uwenyekiti wa BAWATA akiwa hana potential yoyote? Basi sawa!
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
We kinembe Cha Meko unakuwagabna umama sana
 
Inatakiwa upewe nafasi ufafanue sababu za rufaa, sio uombe msamaha, yaani ufungwe, ukate rufaa mahakama kuu, unafika kwa Jaji anakwambia omba msamaha au tunatoa uamuzi.

Kwanza upewe fursa ufafanue sababu ya rufaa moja baada ya nyingine.

Mbowe aliogopa wangemuumbua, hakuwapa fursa hiyo
Maelezo ya Mbowe aliuliza kama kuna mtu anayehitaji kuongezea au kusema chochote kuhusiana na lile swala. Nadhani hapo ndio ilikuwa muda wa yeyote kuongea, hawakulazimishwa kuomba msamaha.

Na hata walipotoka nje, Mdee aliulizwa akaishia kusema Mbowe kafanya uhuni, anaulizwa uhuni gani anapotezea.

Kama kwenda kwao bungeni ni kwa baraka za chama, why kesi Yao imefunguliwa kimya kimya?
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Endelea kuufurahia utahiri wako ila tu usiwarithishe wanao. Hiyo laana iishie kwako isiende kwa kizaxi chako.
 
Ipo, inatembea sana mitandaoni, ntaiweka hapa, Mbowe anawabembeleza COVID 19 wakaapishwe na anawahakikishia chama kitawapa barua ya utambulisho
Wewe kweli akili yako ni kibaba, huwezi hata kutengeneza uwongo.

Hivi kipi kinatangulia, kuapishwa au barua ya uteuzi?
 
Haiwezekani awashawishi wakawe wabunge, awape na barua za utambulisho halafu awakane.

Yeye na Mnyika wanawajibika.
#kataaWahuni

Mdee atoe clip za jinsi Mbowe alivyowashawishi wakaapishwe, tena akiwa na Mnyika
Haya mambo hayawahusu ccm. Wakati dikteta Magufuli anafanya uhuni kwenye kile alichoita uchaguzi moja ya sababu aliyotumia kama kigezo alidai vyama vya upinzani vina chelewesha maendeleo.

Leo ccm wanaendelea kung'ang'ania madarakani na ndio uchumi unazidi kufa huku idadi ya watanzania maskini ikizidi kuongezeka.

Ccm badala ya kushughulikia maswala muhimu yanayoifanya nchi hii iendelee kuwa maskini wao siku zote akili yao yoote iko Chadema. Hakuna watu bogus kama watu wa ccm. Bure kabisa.
 
Lissu naye amekuwa mlevi wa kupindukia huko ubeleji.
 
Alidondoka zitto na Dr.Slaa ila hakupata aibu ndio sembuse mabinti hao?? Get serious

Kati ya hao wanawake wanajua mambo mengi sana ya Mbowe kiasi kwamba wakifunguka ndio utakuwa mwisho wake kwa aibu; ndio maana watu wanaomtakia mema wanamshauri kuwa afadhali achutame ili ajisitiri!!
 
Back
Top Bottom