Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Ni vyema ukatuthibitishia shutuma zako ili tukuamini.Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
🤣🤣 Hatutaki kuhoji kwa kuangalia kwani vikongwe na vijana haiwezekani wakawa na hali sawa.. TUNATAKA WAHOJIWE HADHARANI WASEME WENYEWEHuitaji hata elimu ya form IV kujua kwamba mateka wepi walikuwa kwenye mateso, ukiwaangalia wafungwa wa Palestine waliokuwa Israel wanaonekana Wana afya njema sana hiyo inaonyesha ni jinsi Gani walikuwa treated vizur ila upande wa pili ni tofauti mno.
Hahahahaha! analipua maadui zake lake lakini.Yahudi hana huruma. Ngoja siku aje kuripua Vatican ndio utajua
Sasa Kama hospitali za Israel zimesema mateka wako kwenye hali njema kiafya,hawa wayahudi wa bongo wanahoji nini?🤣🤣 Hatutaki kuhoji kwa kuangalia kwani vikongwe na vijana haiwezekani wakawa na hali sawa.. TUNATAKA WAHOJIWE HADHARANI WASEME WENYEWE
Mwehu hana rafikiHahahahaha! analipua maadui zake lake lakini.
Mpaka hapo nimeishathibitisha,kama ulimteka mtu ukamchukua anatembeaNi vyema ukatuthibitishia shutuma zako ili tukuamini.
Nayaona.ila mateka wa palestina waliorudishwa kutoka mikononi mwa israel sijaona aliyekuwa amebebwa.Mayahudi kwani si walikua wanawaua wapelestina au huoni hayo?
duuuuh!Mwehu hana rafiki
Jamaa muongo sanaKwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
huyo ni ccmWewe muongo na mnafiki. Wapigwe shindano wawe na furaha vile? Halafu huo uongo kwenu inaonekana ni jadi
Hebu Acha Unafiki Una Uhakika Na HiloKwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
Hebu Acha Unafiki Una Uhakika Na HiloKwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.
True wamerusha maroketi kuua Leo wajifanye wema kuna wayu wajinga Sana. Wanajua wapo live WANAJIFANYA wemaHamas ni wasanii tu wanajifanya wema mbele ya kamera ili kutaka kuiaminisha dunia kwamba wao ni innocent na kile Israel inachofanya Gaza ni uonevu tu, sasa swali LA kujiuliza nani alianza uchokozi? Umewateka watoto, wazee , kwa mitutu na ukatili alafu unakuja kwa ngozi ya kondoo kutaka kuitrick dunia kwa ujinga wao ambao ni wakulaaniwa na mtu yeyote anayejali uhai wa maisha ya binadamu.
HAMAS mtarudia kile cha tar 7?Na hatawarudi ktk vita
Wekauhakika ulionaoHebu Acha Unafiki Una Uhakika Na Hilo