Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
Ni vyema ukatuthibitishia shutuma zako ili tukuamini.Kwa hiyo mkuu unaona hiyo ni sifa?
Unajua inamaanisha nini?
1.Waliwaumiza sana wakati wanawateka kiasi kwamba hawawezi kutembea wenyewe tena.
2. Hawakuwahudumia kwa chakula na malazi bora wakati wanawashikilia
3. Wamewadunga sindano za kuwadhoofisha ili baadae waishilie kimya kimya.
Ningefurahi kuona wahanga wana afya bora,hiyo ningeiita sifa.