BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Hapa wananchi wa chunya wakimzungumzia "gaidi" HamzaJamaa hana baya
Sijamsikia Kamanda Siro akiongea kwa madaha kuhusu hili hili tukioHii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.________________________________
Yaani Askari wanalipwa mishahara kwa kodi na tozo za watanzania. Askari huyo huyo anakuja kudhulumu biashara inayolipa mshahara wake.
Kila kitu, hata unyonge una ukomo wake.
Watu wengi TZ ni wajinga, shujaa gani wa hivyo, hana maarifa ila kajaa utata tu kuanzia elimu mpaka uraia wakeShujaa huyo. Wasomali wengi wanahitajika Tanzania ili heshima kwa wananchi irudi.
Huyu ndio shujaa wa kweli. Yule mwingine alikufa kwa corona nashangaa watu wakamwita eti shujaa wa Afrika!!