Video: Hamza Hassan Mohamed akimzungumzia Hayati Dkt. Magufuli
Hii ni wakati wa maombolezo ya Magufuli.
________________________________
Yaani Askari wanalipwa mishahara kwa kodi na tozo za watanzania. Askari huyo huyo anakuja kudhulumu biashara inayolipa mshahara wake.
Kila kitu, hata unyonge una ukomo wake.

Sijamsikia Kamanda Siro akiongea kwa madaha kuhusu hili hili tukio
 
Iko haja ya swala la Hamza kuwashambulia Polisi kuchunguzwa kwa umakini sana , huyu mtu anaonekana alikuwa muungwana sana , nini kilimkuta hadi akabadilika kiasi kile ?

 
Labda yaliyosemwa ni kweli kuwa dhuruma ilihusika.., naye kuamua kulipa kisasi. Maana hakuna kitu kinachoumiza kama kudhurumiwa haki yako, huwezi juwa maumivu ya dhuruma kama hujawahi kudhurumiwa.
 
kwa nini wafuasi wa Mbowe wamefurahia sana kitendo kilicho fanywa na Hamza cha kuuwa Askari Polisi watatu ? na kuona kama kitendo hicho kilicho fanywa na Hamza dhidi ya Polisi ni cha kishujaa?!!!
Jeshi letu lazima litupie macho makali kwa hawa wahuni wachache.
 
Back
Top Bottom