Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu

Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu

Wazee wamepumzika nyumbani huyu bado anahangaika, muda ukishakutupa kubaliana nao utakapokataa utaonekana kituko
 
Yaani hicho chama kinaporwa asubuhi kabla ya September, 2025!
Hahaaaa
Afadhari amepata warithi watakaoendeleza chama.
Usishangae kuona CHAUMA inaobuka na wabunge 1 au 2 mwaka huu.
Au ikaungana na vyama vingine kama ACT, NCCR kuunda umoja na kusimamisha wagombea.
 
Back
Top Bottom