Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Sasa Unafikiri Hao Wamekwenda BureYaani hicho chama kinaporwa asubuhi kabla ya September, 2025!
Hapo Ni Kama Fisi Anavizia.....
Sasa Unafikiri Hao Wamekwenda BureYaani hicho chama kinaporwa asubuhi kabla ya September, 2025!
Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Bilioni 15 (15,000,000.00) za kazi maalumu ziliombwa na Bwana Waziri R Salum kwa ajili ya kazi maalum!
Hajala wali?Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Kumbe ndiyo maana wamekimbilia ambapo ni Rahisi kufanya mapinduzi!Rugwe is tired, G55 Wanaangalia possibility ya kutake Charge
Watazigombania siyo muda mrefuBilioni 15 (15,000,000.00) za kazi maalumu ziliombwa na Bwana Waziri R Salum kwa ajili ya kazi maalum!
Hivi ana mke kweli? Ana watoto? wameshindwa kumshauri na kumsitiri baba yao? Afrika hovyo sanaAisee ni kweli mzee Rungwe amechoka
Mbowe atakuwa mgombea Urais kupitia Chaumma, Rungwe hawezi kuwauza wagombea kwa wananchi, pia wagombea hawana nguvu ya ushawishi binafsi kwenye majimbo yao.Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Devotha Minja anamlia timing ajimilikishe chamaWakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Pesa pesa pesaHivi ana mke kweli? Ana watoto? wameshindwa kumshauri na kumsitiri baba yao? Afrika hovyo sana
Wakati ni ukutaWakili muda umepita sasa
kama vile mnawaonea wivu G55. Si muwaache? Mbona mnawafuatilia sana?Rugwe is tired, G55 Wanaangalia possibility ya kutake Charge
Hawa ndio watakao mwaga damu ya waTanzania. Ni muhimu kuwatambua kila mmoja wao kwa nafasi zao.Bwana Waziri R Salum
Huyu mzee mh nimebaki nachekaWakuu