AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Alishasema anakula kodi za wananchi na anajua zinakotoka Mzee Rungwe mzee wa ubwecheBora uchoke kuliko kufanya uasi

Kabisa hayo yanawezekana na hasa baada ya kubaini wapinzani halisi ni kina nani!Hahaaaa
Afadhari amepata warithi watakaoendeleza chama.
Usishangae kuona CHAUMA inaobuka na wabunge 1 au 2 mwaka huu.
Au ikaungana na vyama vingine kama ACT, NCCR kuunda umoja na kusimamisha wagombea.
Kuna mwanae yupo chamani hapo sidhani kama atakubali kupoewa chamaRugwe is tired, G55 Wanaangalia possibility ya kutake Charge
Alishazoea zake akipiga ubwabwa ubwabwa amemalizaWakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Bora ale kodi za wananchi kuliko kuwafanyia uasi wananchiAlishasema anakula kodi za wananchi na anajua zinakotoka Mzee Rungwe mzee wa ubweche
CHAUMMAKabisa hayo yanawezekana na hasa baada ya kubaini wapinzani halisi ni kina nani!
Huyu Saluma Mwalimu yuko kama fisi anasubiria mfupa (Mzee Rungwe) udondoke, wagawane hiki chama 😛Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Kama kuna mtu anafanya uasi peleka ushahidi mahakamani ndg.Bora ale kodi za wananchi kuliko kuwafanyia uasi wananchi
Labda wamekimbilia huko wametabiri jamboWakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Mbona anababaika hivi?Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
Mzee wa ubwabwa kachoka apumzike sasa baada ya biashara nzito ya jioooni 😂😂😂😂😂Wakuu
Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu
🤣Wakuu

Keshamuuzia Mbowe, hakuna atakayepora chama.Yaani hicho chama kinaporwa asubuhi kabla ya September, 2025!
yaani hapo ni sawa na simba mzee aliyechoka amekutana na Spotted hyena njaa kali wa pale kataviRugwe is tired, G55 Wanaangalia possibility ya kutake Charge
Kuachwa kunauma, ona chadema mnavyohangaika na Chauma.Malaya wa kisiasa wamepata uchochoro....
Ndo kuporwa kwenyewe huko! Kumbe imefanyika mapema sana!K
Keshamuuzia Mbowe, hakuna atakayepora chama.
Tayari ushahidi nimepelekaKama kuna mtu anafanya uasi peleka ushahidi mahakamani ndg.
Hujaona hapo Kigaila kahamia na Cheo chake cha Unaibu katibu Mkuu Bara.Rugwe is tired, G55 Wanaangalia possibility ya kutake Charge