Video: Hasheem Rungwe amechoka, anasoma hotuba kwa taabu sana, wana-CHAUMMA wanakuna vichwa tu, G55 wanampimia wapite na chama

Wakuu

Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu

Mpaka nimecheka mwenyewe, pole yake mzee wamekupa mzigo mzito sana kama walivyompa Wasira
 
Wakuu

Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu

Ndiyo maana wachagga wanafikiri wanaenda kukufanya kuwa chana cha ukanda!
 
Wakuu

Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu

Alivopiga interview na odemba (startv) alikua imara sana --- huku akisisitiza srikali inawapa pesa vyama vishiriki majadiliano😁
 
CCM imeamua kuichukua CHAUMMA, na kuifanya kuwa jumuia yake. Kwa gharama kubwa CCM iliyoitumia, haitakubali hata siku moja, CHAUMMA ije kuwa chama cha upinzani.
 
Silitaraji mzee Rungwe angesepa na kijiji kiasi hiki. Nashauri ulinzi uongezwe ili isitokee stampede. Chondechonde afande Muliro
 
Ma
Wakuu

Mkutano wa Chama Cha Ukombozi wa umma CHAUMMA unaoendelea Ubungo Plaza mambo ni mengi, Mwenyekiti wa chama hicho Rungwe anaonekana amechoka na yupo hoi kwani hata kusoma anapata taabu sana. G55 wanampimia tu

James Mapalala alinyang'anywa CUF baada ya kumwalika Maalim Seif ili kuja kuipa nguvu. Ilikuwa Tanga, watu wazima watakumbkla vurugu zilizotokea siku hiyo
 
Ikawaje
 
Back
Top Bottom