Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA.

Alikuwa tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao kuanguka. Lakini amefika Dar salama na ametua salama. Angani hawajakutana na hali mbaya ya hewa kama TCAA walivyodai. Hii ni aibu kwa TCAA, maana imeonesha dhahiri kuwa wanatumika kisiasa. #NiYeYe

 
Mwisho leo kupata airtime baada ya hapo hata kuwa na jipya tena.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA. Alikua tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao kuanguka. Lakini amefika Dar salama na ametua salama. Angani hawajakutana na hali mbaya ya hewa kama TCAA walivyodai. Hii ni aibu kwa TCAA, maana imeonesha dhahiri kuwa wanatumika kisiasa. #NiYeYe
Maccm yalidhani yatamtisha rais wetu mtarajiwa
 
Back
Top Bottom