Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Mungu Mkubwa ndio maana namkubali sana Tundu Lissu he is a brave man.
Tanzania kwa mara ya kwanza inaenda kupata rais mwenye maono na mwenye kutumia zaidi akili kuliko maguvu
 
Hatuna budi watanzania wote bila kujali itikadi zetu za vyama tumpongeze Mh. Lissu kwa ujasiri aliouonyesha kipindi hiki cha kampeni
 
Nasema CCM tutashinda lakini HATUNA FURAHA. Halafu huko Zanzibar tumeshaua watu.
 
Lissu ni genius!! Tanzania inakwenda kupata Rais wa type za Mwalimu kwa weredi.

Tumechoka kuwa na marais wanaoogopa hata kwenda nchi za nje kwenye makongamano na mikutano ya kimataifa.
Walimfanyia figisu pale kigongo wakati wa kwenda ukerewe kwa kumkatalia kupanda kivuko kilicho nunuliwa kwa fedha za watanzania walipa kodi.

Kwa ujasili uliopitiliza akaamua kupanda mtumbwi na akafika salama na kufanya mkutano wake na wana Ukerewe.
 
Ma.ccm yamebakia midomo wazi hayaamini kinachotokea!!
Idiot na pimbi mkubwa, CCM tunakula bata tu, ushindi ni LAZIMA, hatuwezi mpa kibaraka nchi, so wewe na wajinga wenzako imekula kwenu wapumbavu kabisa
 
Alipokuwa Mtanzania mwenzetu, hakika aliiteka mioyo ya wengi, baada tu ya kutoka kwenda ng'ambo, karudi kaharibika Sana kifikra, si Yule tumfanye tena,


Ulaya kuna mapepo yanayoharibu bongo za waafrika, wakienda huko, kama si kuja kuanza kuona kila Jambo lifanywalo huko lazima na Africa lifanywe

Si ushoga, Raisi kunyoa kiduku, n.k

Hayo kwetu Africa ni mwiko,
Zumbukuku kazini
 
Ilijulikana kwamba ingekuwa hivyo, wakati gari bovu linapelekwa gereji, yeye alipewa likizo ya kufanya kampeni kwa hila. Leo wameshindwa kufanya kampeni wanataka na yeye ashindwe kufunga pia. Mipango ya kiovu sana.
Kamwe shetani hajawahi kushindana na malaika.
 
Back
Top Bottom