Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Idiot na pimbi mkubwa, CCM tunakula bata tu, ushindi ni LAZIMA, hatuwezi mpa kibaraka nchi, so wewe na wajinga wenzako imekula kwenu wapumbavu kabisa
Fiestas la mwisho leo lipo wapi? Hongera sana kuwaburudisha watanzania bure bure!!
 
Zanzibar Watu 3000 wamepiga kura 100000 naam laki moja
 
Lissu ni genius!! Tanzania inakwenda kupata Rais wa type za Mwalimu kwa weredi.

Tumechoka kuwa na marais wanaoogopa hata kwenda nchi za nje kwenye makongamano na mikutano ya kimataifa.


Kimombo hakipandi mkuu, bora nusu shari kuliko aibu.🤣🤣🤣
 
Pimbi mkubwa, yaani kibali kapewa then kasingizia hajapewa idiot kabisa
wewe na yeye nani pimbi..endelea kukalisha mapumbu kwa shemeji
IMG_20201020_213934.jpg
 
Uongo huo huwezi kuruka bila kibali cha hali ya hewa hakuna kitu kama hicho duniani
Hivi wewe ulishawahi kupanda ndege kweli weee

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha, kesho mwisho ndio ushindi wenyewe sasa,

Achana na ushindi wa mitandaoni mkuu, kesho ndio mwisho wenu!!
Hahaha hahaaa, Raha Sana
Kesho ni mwisho wenu wewe na babako kuishi hapa Tanzania
 
Uongo huo huwezi kuruka bila kibali cha hali ya hewa hakuna kitu kama hicho duniani
Hivi wewe ulishawahi kupanda ndege kweli weee

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
Hawa vibaraka wanadanganywa na menyewe yanakubali, hii movie sawa na ile ya kivuko musoma, eti baada ya kupakiza gari eti ndiyo linawadanganya kivuko kimegoma, yaani huyu shetani lisu mwisho wake kesho pimbi mkubwa
 
Back
Top Bottom