Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

Kwa kuwa CCM imehodhi kila kitu, uchaguzi huu watapigwa asubuhi lakini watajitangaza. Wamepanga kuteka mawakala, wizi utakaofanyika wa kura ni haujawahi kutokea.

Lkn pamoja na wizi habari wataipata ni kwa kiasi gani hawakubaliki, pengine watajipanga upya
 
Angalia hii ng'ombe!
Ubelgiji alienda kutalii?

Watu waovu mnamuogopa sana Lissu...na anajambo lenu, endeleeni kuroga
 
Huu uzi umejaa matusi mpaka aibu.
Uwe ccm uwe chadema au usiwe na chama kama mimi, sisi sote ni ndugu , ndugu mwenye roho nzuri aendelee kuwa na roho nzuri lakini pia amwombee mwenye roho mbaya za uuaji na ukatili ili aache roho zake mbaya.
 
Hawa vibaraka wanadanganywa na menyewe yanakubali, hii movie sawa na ile ya kivuko musoma, eti baada ya kupakiza gari eti ndiyo linawadanganya kivuko kimegoma, yaani huyu shetani lisu mwisho wake kesho pimbi mkubwa
Vibaraka ni nyinyi mliotoka Burundi na kuja Tanzania
 
Punguani punguani na mrundi wenu
 
Vibaraka ni nyinyi mliotoka Burundi na kuja Tanzania
Kwa hii video ni kweli hali ya hewa haikuwa nzuri japo si kiasi cha kumzuia rubani asiruke bali kumpa ushauri tu halafu unamwacha aamue.
KIA naona hali ya hewa ilikuwa nzuri kabisa.
 
Kwa hii video ni kweli hali ya hewa haikuwa nzuri japo si kiasi cha kumzuia rubani asiruke bali kumpa ushauri tu halafu unamwacha aamue.
KIA naona hali ya hewa ilikuwa nzuri kabisa.
Tatizo la maccm ni kuendekeza ubabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…