MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Anachangamsha genge tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Hawajipendi hao. Of course time is the best answer
Wana ccm ndio wameamua hivyo, na wale waliotaka rais na mgombea mwenza atoke nje ili wawajadili na ukumbi wote ukisimama na kupiga makofi akiwemo waziri wa tamisemi walikuwa chama gani vile?Wana ccm wameamua iwe hivyo labda weww ndio hukupenda, ila kuna kamati kwa ajili ya jambo hilo na wameamua hivyo
CCm ina utaratibu wake kura si zilipigwa kwa siri mbona hao ambao hawakutaka kura zao za hapana hatukuziona?Wana ccm ndio wameamua hivyo, na wale waliotaka rais na mgombea mwenza atoke nje ili wawajadili na ukumbi wote ukisimama na kupiga makofi akiwemo waziri wa tamisemi walikuwa chama gani vile?
Si diaspora, yupo hapa hapaKama Ni Diaspora anatupigia kelele tu...
Full tank, wanapiga moshi tatu 🤣🤣Naona Land Cruiser nyeupe zikianza kuranda randa rasmi maeneo anapoishi 🤣
Kuna kakikundi kadogo kaliko na maslahi binafsi tokana na uwepo wake madarakani...Hivi kwa nini Samia hakutaka kushindanishwa? Si ameleta maendeleo? Uoga wa nini
Kura zilipigwa kwa siri au siyo, wale wote walioshangilia walionekana sasa ulitaka wapige kura za hapana ili waanze kushughulikiwa, yaani upo ccm lkn hujui unafiki uliopo hukoCCm ina utaratibu wake kura si zilipigwa kwa siri mbona hao ambao hawakutaka kura zao za hapana hatukuziona?
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..
Kama wanaweza kuvunja katiba watashindwaje kuvunja kibuyu cha asali?➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..
Fanya masihara nn mkuu hahhaaaahhaaHivi kwa nini Samia hakutaka kushindanishwa? Si ameleta maendeleo? Uoga wa nini
Ngoja tuone...Hawajipendi hao. Of course time is the best answer
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..
Mbona watu wakitoa maoni huru wanapotezwa?Hayo ni maoni tu kila mmoja yupo huru kusema!