Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

KIJANA MZALENDO AIVAA CCM "HIKI NI KITUKO WAMEVUNJA KATIBA CCM KAMA WANAMPENDA SAMIA HARAKA YA NINI"

View: https://m.youtube.com/watch?v=9Vdp5kcgCt4

Mashaka N'kindikwa asema katiba ya chama cha CCM na kanuni zake zimevunjwa.

Kijana maarufu wa UVCCM anayejitambulisha kuwa ni mtanzania mzalendo ndugu Mashaka N'kindikwa asema katiba ya chama cha CCM na kanuni zake zimevunjwa, huku akifanya rejea ya vitabu viwili kimoja cha katiba na cha pili kitabu cha kanuni za CCM

Mashaka N'kindikwa alisema hiki ni kituko cha karne walichofanya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tarehe 18 January 2025 Dodoma , Tanzania. Na maana yake hakuna uhalali wa uteuzi uliopitishwa kinyume cha katiba na kanuni za chama.

Pia kada huyu wa UVCCM akaongeza tulimuona rais mstaafu Jakaya Kikwete alistuka na kuhoji wajumbe wa mkutano mkuu kama mnajua hiki mnacho shangilia ...
 
Wana ccm wameamua iwe hivyo labda weww ndio hukupenda, ila kuna kamati kwa ajili ya jambo hilo na wameamua hivyo
Wana ccm ndio wameamua hivyo, na wale waliotaka rais na mgombea mwenza atoke nje ili wawajadili na ukumbi wote ukisimama na kupiga makofi akiwemo waziri wa tamisemi walikuwa chama gani vile?
 
CCm ina utaratibu wake kura si zilipigwa kwa siri mbona hao ambao hawakutaka kura zao za hapana hatukuziona?
 
Kura zilipigwa kwa siri au siyo, wale wote walioshangilia walionekana sasa ulitaka wapige kura za hapana ili waanze kushughulikiwa, yaani upo ccm lkn hujui unafiki uliopo huko
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Mkutano Mkuu una uwezo wa kuamua jambo lolote litekelezwe kwa dharura kama itakavyoona inafaa
 
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
Kama wanaweza kuvunja katiba watashindwaje kuvunja kibuyu cha asali?
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Natamani kumsikia Ndugai
 
Toa bibi wa kizanzibar huyo akapumzike zake huko kizimkaz tena asubir huenda akashtakiwa
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Zero brain, kabisa, mkutano mkuu, na kamati zinapokaa pamoja, zinauwezo wa kutengua kifungu, na kufanya maamuzi yoyote juu ya taratibu zozote ndani ya katiba ya chama /
 
Back
Top Bottom