Video: Hatimaye wana CCM majasiri waanza kujitokeza na kusema Samia amevunja katiba ya chama kujiteua mgombea u - Rais. Atakiwa kujiuzuru

Mbona watu wakitoa maoni huru wanapotezwa?

Kupoteza watu ndio order of the day huko Lumumba.
Aliyepotea ni nani toa uthibitisho?....nyimbo za soka na saanane walijiteka mbowe maria sarungi na hilda newtorn wanajua mchezo wote!
 
Kura zilipigwa kwa siri au siyo, wale wote walioshangilia walionekana sasa ulitaka wapige kura za hapana ili waanze kushughulikiwa, yaani upo ccm lkn hujui unafiki uliopo huko
Hayo ni mawazo yako kwa hisia zako ila siyo uhalisia
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Mzee Yuko sahihi sana. Ule mkutano sio
 
Hebu muacheni mama. Mitano tena.
 
Tulisema kilichofanyika kwenye mkutano ule hakuna mwanaccm mwenye akili anaweza kukikubali, sasa uyo ni mmoja amejitokeza ,vipi ambao hawajajitokeza wako wangapi.

Mimi sio mwanaccm ila napenda ccm yenye kufuata katiba, sheria kama chama na sio kama kikundi cha watu wachache.
 
Aliyepotea ni nani toa uthibitisho?....nyimbo za soka na saanane
Walijiteka eh.?

Ok wako kambi gani waliyojiteka.

Unaweza ukatupa mfano halisi kwa maelezo mtu "anayejiteka" anafanya vitu gani?
walijiteka mbowe maria sarungi na hilda newtorn wanajua mchezo wote!
Mbowe na Maria Sarungi ni watu wawili tofauti , akili ni nywele wewe una kipara tena chakavu sio kipya zingatia alama ya mkato kutenganisha majina pia majina ya watu huandikwa kwa herufi kubwa.

Pia ni Newton sio Newtorn

Lumumba timu ya propaganda imejaa vilaza tupu ndio kama navyoona mfano kwako hapa.

Unasema wamejiteka , kwanini wanaojiteka wawe ni watu wa mrengo mmoja tu ?

Mtu ajiteke tangu November 2016 ?

Mtu ajiteke tangu August 2024?

Mahitaji ya kibinadamu anawapelekea nani huko hao waliojiteka?

Kwanini wanapotea kama mnavyosema wamejiteka pale wakimkosoa rais?
 
Ila born town na mzee tembo ni mafia sana. Hakuna hata kuchukua form? Hata jiwe hakuwa hivi
 
Angetaja vifungu vilivyovunjwa

Mkutano mkuu ni mkubwa kuliko vikao vyote vya CCM

Waweza amua lolote mradi maamuzi yawe ya wengi wajumbe wa mkutano mkuu

Huyo atakuwa Chadema aliyenunua kadi ya CCM

Mkutano mkuu ukishaamua jambo limeisha hilo kinachofuata utekelezaji
 
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..

➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...

➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...

Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..

Mzee Yuko sahihi ila watampuuza kisa anaitwa malisa
 
Pre GE2025 Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
 
Back
Top Bottom