SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Unajadili hoja au unataka kumjadili yeye? CCM mna upuuzi mwingi sanaKwanza tupe CV ya Mzee Malisa ndani ya CCM ndio tuchangie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajadili hoja au unataka kumjadili yeye? CCM mna upuuzi mwingi sanaKwanza tupe CV ya Mzee Malisa ndani ya CCM ndio tuchangie.
Aliyepotea ni nani toa uthibitisho?....nyimbo za soka na saanane walijiteka mbowe maria sarungi na hilda newtorn wanajua mchezo wote!Mbona watu wakitoa maoni huru wanapotezwa?
Kupoteza watu ndio order of the day huko Lumumba.
Hayo ni mawazo yako kwa hisia zako ila siyo uhalisiaKura zilipigwa kwa siri au siyo, wale wote walioshangilia walionekana sasa ulitaka wapige kura za hapana ili waanze kushughulikiwa, yaani upo ccm lkn hujui unafiki uliopo huko
TKO hiyo haya kalaleHayo ni mawazo yako kwa hisia zako ila siyo uhalisia
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..
Acha kuendeshwa na ahisia tumia akili, jenga hoja siyo kuja na hisia hisiaTKO hiyo haya kalale
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..
Walijiteka eh.?Aliyepotea ni nani toa uthibitisho?....nyimbo za soka na saanane
Mbowe na Maria Sarungi ni watu wawili tofauti , akili ni nywele wewe una kipara tena chakavu sio kipya zingatia alama ya mkato kutenganisha majina pia majina ya watu huandikwa kwa herufi kubwa.walijiteka mbowe maria sarungi na hilda newtorn wanajua mchezo wote!
Toa locationSi diaspora, yupo hapa hapa
Angetaja vifungu vilivyovunjwa
UumbwaaaCc: Dokta Slaa 🤣
View: https://youtu.be/Gl_enK_qbVg?si=XGMbUj8hTJxGpgyp
➡Hatimaye matunda ya kilichofanyika Dodoma tarehe 19/01/2025 kwa Bi Samia Suluhu Hassan kujiteua mgombea u - Rais huku akimwingiza kwenye mkumbo huo Dr Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wake, yaanza kujidhihirisha na kupingwa waziwazi..
➡Mzee Malisa (mwanachama mtiifu na mwaminifu wa CCM) ktk video hii, hajajificha bali kajitokeza waziwazi na kusema Samia na wenzake walikosea, walivunja katiba ya CCM na ya nchi kwa kujiteua kuwa wagombea u - Rais huko Dodoma na kutumia "mamlaka yake ya U - Rais" kuu - blackmail mkutano kinyume cha taratibu na kanuni za chama kujilazimisha kuwa wagombea u - Rais...
➡Mwisho kwa sbb ya kusimamia uvunjaji wa katiba na kanuni za CCM pamoja na katiba ya nchi, amemtaka Bi Samia Suluhu Hassan kujiuzuru mara moja nafasi ya uenyekiti wa CCM taifa kwa sababu hafai tena kuendelea kukiongoza chama hicho...
Tazama na sikiliza mwenyewe video hiyo..
Kwani cku c ndo hizi unataka cku ganiAlikuwa wapi siku zote
ningeweza lakini siwajibikiToa location
Msaidie kwa hilo, peleka kesi mahakamani.naam asi ishie kwenye video tu, aende mahakamani aka pinge maana Sheria ipo wazi.