Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Kudili na majizi, mafisadi, yaliyozoelea kula jasho la wengine, huwezi kukwepa kuyanyonga na kuyateka

Kwa faida ya wengi, JPM, hana kosa

Na dereva wa basi akikwepa mtu mmoja barabarani na kisha akasababisha ajali ya abiria alionao, huyo dereva ni mpumbavu na anafaa auwawe!

Unakuwa kiongozi wa watu zaidi ya M60, halafu unakwepa kudili na watu 50 ili kuokoa mamilion ya watu, wewe hufai kuwa kiongozi popote!
 
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Uzushi kama huu Huwa watu wenye akili ndogo mnaamini propaganda.

Eti ukikatika kidogo tuu unarudi 😁😁😁
 
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Ukweli tupu pasi na shaka yoyote.
Hivi wale waliojiita watoto wa mjini na waerevu wakisikia haya wanajisikiaje? Aibu hii ya kushindwa wanaficha wapi nyuso zao.

Walimtukana sana JPM, Lakini sasa matusi yoote yanawarudia wenyewe mchana kweupee. Aibu yao iko wazi kabisa.
 
Hakufeli, kuna watu namna ya kudeal nao ni hiyo tu, sasa jitu linafungulia maji ya bwawa kwa mfano, mi ningewgiza yatandikwe shaba yote on the spot!

Hao jamaa wamedanganywa na watu wa magharibi. Na tukiendelea kuwaamini umasikini Afrika hauta koma. Nchi kama China ambayo haitaki mambo ya domokrasia ujinga, angalia wanavyopaa kwa maendeleo. Afrika hatuhitaji mayo mambo, tunataka maendeleo kama anavyofanya china.
 
Upo tayari kufanya kama wanavyo fanya China ?
 
Back
Top Bottom