Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

Video: Hayati Magufuli alitupa siri kwanini alipokuwepo hapakuwa na mgao, ni kwanini tunasahau haraka namna hii?

Kama wanaoamini Mungu wanawatesa watu wao lakini wale wasioamini Mungu wanawasaidia watu wao tuchague upande upi. ??!! 😅😅🙏🙏
Waafrika wameathiriwa na dini.

Haya wewe jibu lako nini.
Je, upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
 
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Fuatilia vizuri bila mahaba kwa Mwendazake, 2017 kulikuwepo na mgao wa umeme! Tafuta hansard za Jamiiforums utapata habari hiyo!
 
Kudili na majizi, mafisadi, yaliyozoelea kula jasho la wengine, huwezi kukwepa kuyanyonga na kuyateka

Kwa faida ya wengi, JPM, hana kosa

Na dereva wa basi akikwepa mtu mmoja barabarani na kisha akasababisha ajali ya abiria alionao, huyo dereva ni mpumbavu na anafaa auwawe!

Unakuwa kiongozi wa watu zaidi ya M60, halafu unakwepa kudili na watu 50 ili kuokoa mamilion ya watu, wewe hufai kuwa kiongozi popote!
Ni mtu wa ajabu ambaye anakumbatia kundi la watu wachache ili waangamize mamilion ya watu kwa ubinafsi.
 
Tuanzie hapa.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Kwani serikali sindio inasema haina udini wala haiamini ushirikina ila viongozi wake wengi ni vigagula 🤣!

Wangekuwa wanaamini kuna Mungu asingetokea mtu akaiba mabillion ya fedha ambayo ni michango ya kodi za watanzania kwa ajili ya kuishi kwa anasa.
 
Swali mpaka sasa hujajibu au haufahamu chama kinacho ongoza China ?.

Swali

Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Ukikaa ukatafakari vizuri utagundua kuwa hata hao waliowaletea dini walifanya hivyo baada ya kuwanyonya na kuwafanya watumwa.
 
Waafrika wameathiriwa na dini.

Haya wewe jibu lako nini.
Je, upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Hapana ! Lakini Mungu ni upendo na kuhurumiana pamoja na mambo mengine mengi !!

Na pia kuamini Mungu ni pamoja na kuamini kwamba tutawajibika kwake kwa yale yote tuliyowatendea wengine !!
Je tunaamini katika hiyo siku ya kuhukumiwa ??!!
 
Kwa akili hizi unafikiri utaweza kuwa kama China ndoto za mchana.

Kama nilivyosema mwafrika kaathirika na dini za nje kitu ambacho kwa wachina hakipo haiwezekani kuwa kama China kwa akili hizi
 
Kwa akili hizi unafikiri utaweza kuwa kama China ndoto za mchana.

Kama nilivyosema mwafrika kaathirika na dini za nje kitu ambacho kwa wachina hakipo haiwezekani kuwa kama China kwa akili hizi
Ni kweli hatuwezi kuwa kama China ila tunaweza tukaiga iga machache yenye manufaa kwa Nchi na jamii yetu kwa ujumla. !!
Tukianza na adhabu kali kabisa kwa wezi na wabadhirifu wa mali za Umma !!
 
Usiniwekee maneno mdomoni. Tatizo lenu nyinyi mnaamini nikimpinga Magu basi namuunga Samia. Au kinyume chake. Wengine tumechagua kusimamia kweli
Naunga mkono hoja 💯 🙏🙏
Tupo humu jf na tutaendelea kuwa hivyo !!
 
Usiniwekee maneno mdomoni. Tatizo lenu nyinyi mnaamini nikimpinga Magu basi namuunga Samia. Au kinyume chake. Wengine tumechagua kusimamia kweli
Ukisema kuwa tatizo la Magu ilikuwa ni udikteta maana yake huu uongozi wa sasa hauna tatizo hilo tatizo au kwamba sasa kuna demokrasia kitu ambacho sidhani kama ni sahihi, kwahiyo tatizo sio kumpinga Magu maana hakuwa Mungu ila hiyo hali ya kutaka kuonyesha kuwa Magufuli ndio kiongozi pekee ambaye hakufuata demokrasia kwenye huu uongozi wetu chini ya ccm.
 
Ukisema kuwa tatizo la Magu ilikuwa ni udikteta maana yake huu uongozi wa sasa hauna tatizo hilo.
Ninarudi tena,.Magu asingekuwa dikteta na muuaji angekuwa Rais mzuri sana. Kama hujaelewa kawaambie wakurudishie ada
 
Back
Top Bottom