Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Adhabu kali kama zipi ?Ni kweli hatuwezi kuwa kama China ila tunaweza tukaiga iga machache yenye manufaa kwa Nchi na jamii yetu kwa ujumla. !!
Tukianza na adhabu kali kabisa kwa wezi na wabadhirifu wa mali za Umma !!