Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo tayari kufanya kama wanavyo fanya China ?
Tuanzie hapa.Kama inatuhakikishia kupiga hatua zaidi za kimaendeleo, better to go Chinese.
Raila odinga wanamuita baba, ndo huyo unayemsemea hapa...?Huyu mwamba mkono wa kuume wa kiti cha baba naye atakaa
Tuanzie hapa.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Una akili timamu ?Chama ni cha imani ya kidini au siasa?
Uwe makini sana unapoongelea dini na siasa. Maana unaweza ukakuta unapoteza muelekeo.
CCM haina dini.
Una akili timamu ?
Umesema unataka kuwa kama China nikakuuliza upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ? Una nitajia habari za CCM.
CCM ndio inaongoza China ? Kwa akili unafikiri utakuwa kama China ?
Bado hujajibu swali unaruka ruka tu.Mambo haya hayahitaji hasira. Ni ytashi tuu.
Sasa chama cha siasa na Mungu na mambo yake wapi na wapi? Kwani chama cha siasa ni taasisi ya dini?
Kwani Ccm inaamini ktk Mungu?Una akili timamu ?
Umesema unataka kuwa kama China nikakuuliza upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ? Una nitajia habari za CCM.
CCM ndio inaongoza China ? Kwa akili unafikiri utakuwa kama China ?
Bado hujajibu swali unaruka ruka tu.
Je, upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ? nakusubiri
Hapa naiongelea CCM au China ? Wewe ni mkewe mpaka uje umjibie ?Kwani Ccm inaamini ktk Mungu?
Tuondolee upuuzi wako.
Wanapokuàmbia serikali haina dini huwa unaelewa nini?
Rest in power Magufuli
Hakuna cha neutral ni either uchague kunyoa au kusuka ? Ni ndio au Hapana. Kama vitu vyepesi hivi vinakushinda unabaki kujing'atang'ata unafikiri utaweza kuwa kama hao wachina kwa mambo magumu zaidi ya hilo ?!.Jibu liko wazi, vyama kazi yao siyo kueneza dini au mambo ya upako. Kwao siyo ajenda.
Hivyo kwangu, swali lako lina neutral effect. Sioni mantiki yake.
Hoja ni kwamba tuongozwe kikomonist km china tuachane na demokrasia ya magharibi.Hapa naiongelea CCM au China ? Wewe ni mkewe mpaka uje umjibie ?
Ukomunisti huo ndio unao kataza wao kujihusisha na mambo ya Mungu.Hoja ni kwamba tuongozwe kikomonist km china tuachane na demokrasia ya magharibi.
Mwizi wa mali za umma anyongwe.
Wewe na utaahira wako unakuja na mambo ya mungu.
Hakuna cha neutral ni either uchague kunyoa au kusuka ? Ni ndio au Hapana. Kama vitu vyepesi hivi vinakushinda unabaki kujing'atang'ata unafikiri utaweza kuwa kama hao wachina kwa mambo magumu zaidi ya hilo ?!.
Kwani Ccm inaamini ktk Mungu?
Tuondolee upuuzi wako.
Wanapokuàmbia serikali haina dini huwa unaelewa nini?
Rest in power Magufuli
Swali nimekuliza jepesi mpaka sasa umebaki kujing'ata ng'ata.Yaani kwako swala la dini tu ndiyo linalokusumbua. Wakati ukisoma comparative religion, China wana imani yao ya asili. Ambayo hawajaletewa na meli kama nyie. Ambao wakisema dini maana yake ni ukristo na uislam.
Swali jepesi limewashinda. Hivi nyie mnaichukulia China kiwepesi wepesi.Achana naye, maana uelewa wake umeishia karibu sana.
We mpuuzi China wana dini na wanazishika kwelikweli.Ukomunisti huo ndio unao kataza wao kujihusisha na mambo ya Mungu.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?