FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Upuuzi umeandika.Huyu mwamba mkono wa kuume wa kiti cha baba naye atakaa
Kama alitubu kadiri ya Kakobe alimvyomnasihi.Mungu wa mbinguni mrehemu shujaa Magufuli
Nakubaliana naww βοΈ hapo tu ndipo alifeli!!Magu angeheshimu haki za binadamu na demokrasia asingekuwepo wala kutokea kama yeye.
Nakubaliana naww βοΈ hapo tu ndipo alifeli!!
Amina. Hata kama Chadema wenzangu wachukieMungu wa mbinguni mrehemu shujaa Magufuli
Hakufeli, kuna watu namna ya kudeal nao ni hiyo tu, sasa jitu linafungulia maji ya bwawa kwa mfano, mi ningewgiza yatandikwe shaba yote on the spot!
Uzushi kama huu Huwa watu wenye akili ndogo mnaamini propaganda.Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...www.jamiiforums.com
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...www.jamiiforums.com
Hakufeli, kuna watu namna ya kudeal nao ni hiyo tu, sasa jitu linafungulia maji ya bwawa kwa mfano, mi ningewgiza yatandikwe shaba yote on the spot!
Upo tayari kufanya kama wanavyo fanya China ?Hao jamaa wamedanganywa na watu wa magharibi. Na tukiendelea kuwaamini umasikini Afrika hauta koma. Nchi kama China ambayo haitaki mambo ya domokrasia ujinga, angalia wanavyopaa kwa maendeleo. Afrika hatuhitaji mayo mambo, tunataka maendeleo kama anavyofanya china.