Kama wanaoamini Mungu wanawatesa watu wao lakini wale wasioamini Mungu wanawasaidia watu wao tuchague upande upi. ??!! π π ππTuanzie hapa.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Mtu anafungulia bwawa la maji, cha kwamza ni kumteka na kumtesa hadi ataje waliomtuma.., halafu akishataja ndio unampeleka mahakamani..Eleza ni kivipi unahitaji udikteta zaidi ya taratibu za kawaida za kuwajibishana. Kama taratibu za kawaida unamkosa basi unataka kumuonea
Waafrika wameathiriwa na dini.Kama wanaoamini Mungu wanawatesa watu wao lakini wale wasioamini Mungu wanawasaidia watu wao tuchague upande upi. ??!! π π ππ
Fuatilia vizuri bila mahaba kwa Mwendazake, 2017 kulikuwepo na mgao wa umeme! Tafuta hansard za Jamiiforums utapata habari hiyo!Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe...
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa. Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu. KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023...www.jamiiforums.com
Hicho sio kigezo cha kufungulia majiFuatilia vizuri bila mahaba kwa Mwendazake, 2017 kulikuwepo na mgao wa umeme! Tafuta hansard za Jamiiforums utapata habari hiyo!
Penye chuki, haki haikai!Hicho sio kigezo cha kufungulia maji
Hatar sana !!Mtu anafungulia bwawa la maji, cha kwamza ni kumteka na kumtesa hadi ataje waliomtuma.., halafu akishataja ndio unampeleka mahakamani..
Ni mtu wa ajabu ambaye anakumbatia kundi la watu wachache ili waangamize mamilion ya watu kwa ubinafsi.Kudili na majizi, mafisadi, yaliyozoelea kula jasho la wengine, huwezi kukwepa kuyanyonga na kuyateka
Kwa faida ya wengi, JPM, hana kosa
Na dereva wa basi akikwepa mtu mmoja barabarani na kisha akasababisha ajali ya abiria alionao, huyo dereva ni mpumbavu na anafaa auwawe!
Unakuwa kiongozi wa watu zaidi ya M60, halafu unakwepa kudili na watu 50 ili kuokoa mamilion ya watu, wewe hufai kuwa kiongozi popote!
Kwani serikali sindio inasema haina udini wala haiamini ushirikina ila viongozi wake wengi ni vigagula π€£!Tuanzie hapa.
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Ukikaa ukatafakari vizuri utagundua kuwa hata hao waliowaletea dini walifanya hivyo baada ya kuwanyonya na kuwafanya watumwa.Swali mpaka sasa hujajibu au haufahamu chama kinacho ongoza China ?.
Swali
Upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Hapana ! Lakini Mungu ni upendo na kuhurumiana pamoja na mambo mengine mengi !!Waafrika wameathiriwa na dini.
Haya wewe jibu lako nini.
Je, upo tayari kuongozwa na chama kisicho amini kuhusu Mungu na habari zake ?
Kwa akili hizi unafikiri utaweza kuwa kama China ndoto za mchana.Hapana ! Lakini Mungu ni upendo na kuhurumiana pamoja na mambo mengine mengi !!
Na pia kuamini Mungu ni pamoja na kuamini kwamba tutawajibika kwake kwa yale yote tuliyowatendea wengine !!
Je tunaamini katika hiyo siku ya kuhukumiwa ??!!
Ni kweli hatuwezi kuwa kama China ila tunaweza tukaiga iga machache yenye manufaa kwa Nchi na jamii yetu kwa ujumla. !!Kwa akili hizi unafikiri utaweza kuwa kama China ndoto za mchana.
Kama nilivyosema mwafrika kaathirika na dini za nje kitu ambacho kwa wachina hakipo haiwezekani kuwa kama China kwa akili hizi
Unataka kusema sasa hivi hakuna udikteta na kwamba kuna demokrasia?Magu angeacha udikteta angekuwa Rais poa sana
Usiniwekee maneno mdomoni. Tatizo lenu nyinyi mnaamini nikimpinga Magu basi namuunga Samia. Au kinyume chake. Wengine tumechagua kusimamia kweliUnataka kusema sasa hivi hakuna udikteta na kwamba kuna demokrasia?
Naunga mkono hoja π― ππUsiniwekee maneno mdomoni. Tatizo lenu nyinyi mnaamini nikimpinga Magu basi namuunga Samia. Au kinyume chake. Wengine tumechagua kusimamia kweli
Ukisema kuwa tatizo la Magu ilikuwa ni udikteta maana yake huu uongozi wa sasa hauna tatizo hilo tatizo au kwamba sasa kuna demokrasia kitu ambacho sidhani kama ni sahihi, kwahiyo tatizo sio kumpinga Magu maana hakuwa Mungu ila hiyo hali ya kutaka kuonyesha kuwa Magufuli ndio kiongozi pekee ambaye hakufuata demokrasia kwenye huu uongozi wetu chini ya ccm.Usiniwekee maneno mdomoni. Tatizo lenu nyinyi mnaamini nikimpinga Magu basi namuunga Samia. Au kinyume chake. Wengine tumechagua kusimamia kweli
Ninarudi tena,.Magu asingekuwa dikteta na muuaji angekuwa Rais mzuri sana. Kama hujaelewa kawaambie wakurudishie adaUkisema kuwa tatizo la Magu ilikuwa ni udikteta maana yake huu uongozi wa sasa hauna tatizo hilo.