Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Sep 30, 2023 #81 mzeewaSHY said: Ni kweli hatuwezi kuwa kama China ila tunaweza tukaiga iga machache yenye manufaa kwa Nchi na jamii yetu kwa ujumla. !! Tukianza na adhabu kali kabisa kwa wezi na wabadhirifu wa mali za Umma !! Click to expand... Adhabu kali kama zipi ?
mzeewaSHY said: Ni kweli hatuwezi kuwa kama China ila tunaweza tukaiga iga machache yenye manufaa kwa Nchi na jamii yetu kwa ujumla. !! Tukianza na adhabu kali kabisa kwa wezi na wabadhirifu wa mali za Umma !! Click to expand... Adhabu kali kama zipi ?
mzeewaSHY JF-Expert Member Joined Aug 31, 2021 Posts 8,916 Reaction score 8,630 Sep 30, 2023 #82 So special said: Adhabu kali kama zipi ? Click to expand... Za kichina china 🇨🇳 mtu akiiba mali za Umma huko China ajiandae kisaikolojia !!
So special said: Adhabu kali kama zipi ? Click to expand... Za kichina china 🇨🇳 mtu akiiba mali za Umma huko China ajiandae kisaikolojia !!
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 13,332 Reaction score 7,351 Sep 30, 2023 #83 OKW BOBAN SUNZU said: Ninarudi tena,.Magu asingekuwa dikteta na muuaji angekuwa Rais mzuri sana. Kama hujaelewa kawaambie wakurudishie ada Click to expand... Ok sawa mkuu tuishie hapo.
OKW BOBAN SUNZU said: Ninarudi tena,.Magu asingekuwa dikteta na muuaji angekuwa Rais mzuri sana. Kama hujaelewa kawaambie wakurudishie ada Click to expand... Ok sawa mkuu tuishie hapo.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Oct 13, 2023 Thread starter #84 Kariakoo majenereta mwanzo mwisho