Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.

Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.

Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
elewa context ya speech ambayo Heche katoa ,hajakaaza mtu kusikiliza miziki wala kuangalia mpira , anaelezea propaganda zinazotumiwa na kuingizwa na serikali haramu ya ccm kwenye hizo tasnia kama mbinu ya kupumbaza uelewa na fikra za watu kutofuatilia mambo ya maana yanayowahusu
 
Haya nenda kashangilie miaka 30 ya wasanii , alafu urudi kijiweni ubishane simba na yanga, huku wajanja wanauza bandari
wewe unayedanganywa kuwa Bandari imeuzwa wakati bado iko Kurasini na wafanyakazi Watanzania hakuna aliyepoteza kazi. Isitoshe DP WORLD imerahisisha muda wa meli kupakua mizigo, turnover imeongozeka na mapato yamekuwa pia.

Ila kwa vile ulikaririshwa na Lissu na Kitima kuwa bandari imeuzwa na wewe unaimba wimbo wa kibwege kwa vile huna akili zako
 
Niseme kitu

Tuna changamoto kwamba bado tuna watu wachache walioimprove kutoka kwenye zile siasa za kizamani.

Zile siasa za kutojadili hoja badala yake zinawekeza kwenye kushambulia.

Mfano RC Makala alipoteuliwa kua katibu mwenezi kitu cha kwanza alichosema ni chadema inataka kusambaza ebola Tanzania.

Makala ni old school politician yeye aliamini bado tupo kwenye zama ambazo unaweza ongea kitu kizito na watu wakakipokea bila kuhoji.

Mfano mleta uzi anaposema "amempaka za uso" yeye hayupo excited na hoja, yupo excited na old school politics za kupakana matope.

Bahati mbaya kuelimika bado janga Tanzania kwa wengi wetu
Kama unadhani Heche ndiyo SI measure ya modern politics basi umemlinganisha na uwezo wako finyu.
 
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.

My take:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Tunataka demokrasia ila hatuheshimu mawazo ya wengine.

When two people in business always agree, one of them is useless.
 
Chadema ikipata mamlaka wafiraji,mafisadi,wauwaji ma-cartels ya mafuta lazima yakimbie Nchi halafu mpira utatumika kwa malengo ya mpira sio siasa.
Fanya kazi, hata CHADEMA wakipata madaraka usitegemee kama watakuwekea hela mfukoni
 
elewa context ya speech ambayo Heche katoa ,hajakaaza mtu kusikiliza miziki wala kuangalia mpira , anaelezea propaganda zinazotumiwa na kuingizwa na serikali haramu ya ccm kwenye hizo tasnia kama mbinu ya kupumbaza uelewa na fikra za watu kutofuatilia mambo ya maana yanayowahusu
Heche yuko overhyped, viongozi wazuri hawako na attributes hizo. Hata mental faculty ya Heche iko very erratic and unpredictable kama ilivyo ya Lissu.

Wamekutana chupa na mfuniko as a result mwaka jana chama hakijashiriki uchaguzi na Mwenyekiti yuko rumande kwa kuropoka kauli za uhaini. Time is not on your side stand up idiots
 
Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.

Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.

Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
Unashindwa kuielewa pointi ya Heche.

Suala la msingi sio kuzuia matukio ya burudani kwa watu, issue ni kuyatumia matukio ya burudani kisiasa matokeo yake ndio kuzalisha machawa.

Hata suala la mahakama unalozungumzia pia unakosea pointi, sawa mahakama zipo kwa ajili ya kutafsiri sheria, lakini kama mahakama zinatumika kuwakandamiza wapinzani kwa kesi za uongo sio vizuri.

Unawaona mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lissu walivyoishiwa hoja, wameishiwa mpaka mashahidi, wanachofanya siku hizi ni mchezo wa kutoleta mashahidi wa kutosha mahakama licha ya amri ya mahakama kuwataka wawe na shahisi zaidi ya mmoja, ili ikitokea shahidi mmoja akiwa na dharura mwingine achukue nafasi.

Ajabu majaji nao wanashindwa kutoa amri kali zaidi kwa wale mawakili wa serikali, hapo utaona kabisa mahakama nazo zinatumika kuwakandamiza wapinzani kwa kuiogopa serikali kwa kushindwa kuchukua hatua stahiki kwa mawakili wao
 
Fanya kazi, hata CHADEMA wakipata madaraka usitegemee kama watakuwekea hela mfukoni
Chadema wakipata madaraka hawawezi kuwa wafiraji kama genge la ccm, hawawezi kuwa matekaji kama genge la ccm, hawawezi kuwa wauza unga kama genge la ccm,hawawezi kuwa mafisadi kama genge la ccm, hawawezi kuuwa watu kama genge la ccm na hawawezi kuwa ma-cartels ya mafuta kama genge la ccm.
 
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.

My take:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Walio fyatu ndo wataona mmeongea point lakini kwa great thinkers huu ni pointless
 
October 29 imewafundisha Watanzania kuheshimu dola. Ndiyo maana yale maandamano mengine yote mliyopanga including 7/7 na 8/8 hakuna mtu kafurukuta
Kwamba dola itakuwa haijajufunza kutochezea tena box la kura?
 
Heche yuko overhyped, viongozi wazuri hawako na attributes hizo. Hata mental faculty ya Heche iko very erratic and unpredictable kama ilivyo ya Lissu.

Wamekutana chupa na mfuniko as a result mwaka jana chama hakijashiriki uchaguzi na Mwenyekiti yuko rumande kwa kuropoka kauli za uhaini. Time is not on your side stand up idiots
Walioshiriki mshindi aliyetangazwa kwa shuruti akapewa kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura vituoni!
 
Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.

Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.

Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech

Wewe ungeshuhhulikia kwanza tatizo lako la kuwa na uwezo mdogo wa akili. Hata uwezo wako tu wa kufundishika ni shida, halafu unaamini umefikia uwezo wa kufundisha!!
 
Jamaa kama vile anaongea point ukimsikiliza kwa mhemko.

Lakini ukituliza akili utagundua Heche yupo sahihi, tumeshaona mara nyingi wasanii wakitumiwa na CCM kwa maslahi yake.

Tumeshaona pia kwenye mpira "goli la mama" linavyotumiwa kwa malengo ya kuwalainisha wenye mpira wao ili waanze kumsifu na kumuabudu mama yao.
Wewe akili Huna kabisa unawaza kuhusu goli la mama.hao wanasiasa wenu wakialikwa ikulu au kwenye vikao hawapewi posho? Au hao chadema walikuwa hawapewi ruzuku kutoka kwa serikali ? Au unataka kusema serikali ingesema hizo ruzuku wangeziita ruzuku za mama msingelizichukua? Acheni usham
 
Acha makasiriko, Chadema haipewi posho na serikali kutoka mfukoni kwa Samia.

Ruzuku kwa Chadema ipo kisheria, na ni kodi zetu wananchi,sio mapenzi ya Samia kama goli la mama, ondoa ujinga hapa.
 
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.

My take:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.

..huyo dogo kachagua easy target ya kushambulia.

..kuna watu nchi hii wanaweza kukuteka, na kukuuwa, kwasababu ya kuwa na mtizamo tofauti na wao.

..huyo dogo angedili na hao badala ya kumshambulia Heche anayeeleza uhalisia wa mambo.
 
Back
Top Bottom