Jidnganye tu wewe kajamba nani, wenzio tayari hawana madaraka lakini wanakula tonetoneChadema wakipata madaraka hawawezi kuwa wafiraji kama genge la ccm, hawawezi kuwa matekaji kama genge la ccm, hawawezi kuwa wauza unga kama genge la ccm,hawawezi kuwa mafisadi kama genge la ccm, hawawezi kuuwa watu kama genge la ccm na hawawezi kuwa ma-cartels ya mafuta kama genge la ccm.
Rudi kwenye post namba 29 ukaone ulichoandika kwanza
Sasa tazama waliokuunga mkono kwenye hoja yako husika; akina Steven Joel Ntamusana; Kishimbe watu ambao mnajulikana msukumo wenu ulipo katika hali ya sasa inayoikabili Tanzania!My take:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Kwa hiyo akili yako inakupeleka huko, kwamba sasa CCM itatumia hiyo michezo kubaki madarakani kwa mabavu?Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.
Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
hapo hapo, je wajua ya kwamba hizo hela za goli la mama ni kivuli tu. After kupga picha zinarudishwa kusubiri timu nyingne ipige nazo picha? Heche is right awe anakula bangi au la.Jamaa kama vile anaongea point ukimsikiliza kwa mhemko.
Lakini ukituliza akili utagundua Heche yupo sahihi, tumeshaona mara nyingi wasanii wakitumiwa na CCM kwa maslahi yake.
Tumeshaona pia kwenye mpira "goli la mama" linavyotumiwa kwa malengo ya kuwalainisha wenye mpira wao ili waanze kumsifu na kumuabudu mama yao.
Una ushahidi wa hili? Tumesikia mpaka Yanga wanalipwa hizo pesa mara mbili na wala hawakanushi.hapo hapo, je wajua ya kwamba hizo hela za goli la mama ni kivuli tu. After kupga picha zinarudishwa kusubiri timu nyingne ipige nazo picha? Heche is right awe anakula bangi au la.
Huyu nae anauma na kupuliza
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.
My take:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
... siku hizi hata ikipiga mvua kubwa ni 'CCM WANATAKA KUTUTOA KWENYE RELI'! 😅
Tuzembee, kwani uliopita tulizembea au tulimua kuweka heshima kwenye box la kura? Ngoja uone kama upuuzi uliopandikizwa kwenye chaguzi zetu kipindi cha Magufuli, na huyu kichwa nazi naye akaiga kama utajirudia tena. Uzuri sasa hivi watu wakisema uchaguzi haufanyiki, hautafanyika kweli maana kila mtu ameshashika adabu.Zembeeni tena 2030. Tanzania haowezi kuwasubiri
Wapo pamezuiwa?!Huwezi ku manage feelings za watu, haya mambo ni spontaneous by natural stimuli. How can nchi mzima tujadili siasa tu??
Waache watu wapende vinavyo wafurahisha
Mropokaji atamnyima nani usingizi?Sasa tazama waliokuunga mkono kwenye hoja yako husika; akina Steven Joel Ntamusana; Kishimbe watu ambao mnajulikana msukumo wenu ulipo katika hali ya sasa inayoikabili Tanzania!
Hili kweliu linakupa matumaini yoyote?
Inabidi mmzungumzie Heche, kwa sababu anawanyima utulivu kuhusu uovu wenu mnaowafanyia waTanzania.
Acheni unafiki nyie machawa.Huwezi ku manage feelings za watu, haya mambo ni spontaneous by natural stimuli. How can nchi mzima tujadili siasa tu??
Waache watu wapende vinavyo wafurahisha
Kuhusu mpira wa Simba na Yanga Kinachowasumbua chadema ni wivu wa kike walitamani wale mashabiki wawe wa kwao, hakuna kingine! Siasa za kishamba za kulazimishana
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.
My take:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.