MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Nyuma ya speech ya Heche yupo Sugu mwenye tamasha la bongo flava honours. Heche anatumika kulinda maslahi ya kada mwenzake. Kupinga miaka 30 ya bongo flava huku unasapoti show nyingine ya bongo flava ni upumbavu usioelezeka. Hapa Sugu kachemka mno. Angetulia bila kushambulia watu hasa vyombo vya habari. Namwombea asisusiwe show yake.