elewa context ya speech ambayo Heche katoa ,hajakaaza mtu kusikiliza miziki wala kuangalia mpira , anaelezea propaganda zinazotumiwa na kuingizwa na serikali haramu ya ccm kwenye hizo tasnia kama mbinu ya kupumbaza uelewa na fikra za watu kutofuatilia mambo ya maana yanayowahusuKwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.
Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.
Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
wewe unayedanganywa kuwa Bandari imeuzwa wakati bado iko Kurasini na wafanyakazi Watanzania hakuna aliyepoteza kazi. Isitoshe DP WORLD imerahisisha muda wa meli kupakua mizigo, turnover imeongozeka na mapato yamekuwa pia.Haya nenda kashangilie miaka 30 ya wasanii , alafu urudi kijiweni ubishane simba na yanga, huku wajanja wanauza bandari
Kama unadhani Heche ndiyo SI measure ya modern politics basi umemlinganisha na uwezo wako finyu.Niseme kitu
Tuna changamoto kwamba bado tuna watu wachache walioimprove kutoka kwenye zile siasa za kizamani.
Zile siasa za kutojadili hoja badala yake zinawekeza kwenye kushambulia.
Mfano RC Makala alipoteuliwa kua katibu mwenezi kitu cha kwanza alichosema ni chadema inataka kusambaza ebola Tanzania.
Makala ni old school politician yeye aliamini bado tupo kwenye zama ambazo unaweza ongea kitu kizito na watu wakakipokea bila kuhoji.
Mfano mleta uzi anaposema "amempaka za uso" yeye hayupo excited na hoja, yupo excited na old school politics za kupakana matope.
Bahati mbaya kuelimika bado janga Tanzania kwa wengi wetu
Tunataka demokrasia ila hatuheshimu mawazo ya wengine.
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.
My take:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Heche yuko overhyped, viongozi wazuri hawako na attributes hizo. Hata mental faculty ya Heche iko very erratic and unpredictable kama ilivyo ya Lissu.elewa context ya speech ambayo Heche katoa ,hajakaaza mtu kusikiliza miziki wala kuangalia mpira , anaelezea propaganda zinazotumiwa na kuingizwa na serikali haramu ya ccm kwenye hizo tasnia kama mbinu ya kupumbaza uelewa na fikra za watu kutofuatilia mambo ya maana yanayowahusu
Unashindwa kuielewa pointi ya Heche.Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.
Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.
Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
October 29 haijawafunza kitu bado? Bado mnaamini mnapambana na CHADEMA?
Chadema wakipata madaraka hawawezi kuwa wafiraji kama genge la ccm, hawawezi kuwa matekaji kama genge la ccm, hawawezi kuwa wauza unga kama genge la ccm,hawawezi kuwa mafisadi kama genge la ccm, hawawezi kuuwa watu kama genge la ccm na hawawezi kuwa ma-cartels ya mafuta kama genge la ccm.Fanya kazi, hata CHADEMA wakipata madaraka usitegemee kama watakuwekea hela mfukoni
Walio fyatu ndo wataona mmeongea point lakini kwa great thinkers huu ni pointless
Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.
My take:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Kwamba dola itakuwa haijajufunza kutochezea tena box la kura?October 29 imewafundisha Watanzania kuheshimu dola. Ndiyo maana yale maandamano mengine yote mliyopanga including 7/7 na 8/8 hakuna mtu kafurukuta
Walioshiriki mshindi aliyetangazwa kwa shuruti akapewa kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura vituoni!Heche yuko overhyped, viongozi wazuri hawako na attributes hizo. Hata mental faculty ya Heche iko very erratic and unpredictable kama ilivyo ya Lissu.
Wamekutana chupa na mfuniko as a result mwaka jana chama hakijashiriki uchaguzi na Mwenyekiti yuko rumande kwa kuropoka kauli za uhaini. Time is not on your side stand up idiots
Kwa hiyo, siku moja wakipata mamlaka, hatutacheza mpira wala kusikiliza muziki, kwao havitakuwepo. Wote tutakuwa wanasiasa. Hata sheria sijui kama zitakuwepo.
Mahakama ni sehemu ya kudai haki duniani kote, lakini wakishitakiwa mwanachama wa CHADEMA, inaonekana si jambo linalokubalika. Hili linatukosea sisi wengine ambao ni wapenzi wa mpira, ngumi, muziki, ngono na burudani nyingine. Sote tukawa wanasiasa, itawezekana wapi? Itakuwa ni fujo, na hata wao wenyewe watashindwa kutawala.
Let's be serious Heche bado kinda kwenye uongozi na speech
Wewe akili Huna kabisa unawaza kuhusu goli la mama.hao wanasiasa wenu wakialikwa ikulu au kwenye vikao hawapewi posho? Au hao chadema walikuwa hawapewi ruzuku kutoka kwa serikali ? Au unataka kusema serikali ingesema hizo ruzuku wangeziita ruzuku za mama msingelizichukua? Acheni ushamJamaa kama vile anaongea point ukimsikiliza kwa mhemko.
Lakini ukituliza akili utagundua Heche yupo sahihi, tumeshaona mara nyingi wasanii wakitumiwa na CCM kwa maslahi yake.
Tumeshaona pia kwenye mpira "goli la mama" linavyotumiwa kwa malengo ya kuwalainisha wenye mpira wao ili waanze kumsifu na kumuabudu mama yao.
Acha makasiriko, Chadema haipewi posho na serikali kutoka mfukoni kwa Samia.Wewe akili Huna kabisa unawaza kuhusu goli la mama.hao wanasiasa wenu wakialikwa ikulu au kwenye vikao hawapewi posho? Au hao chadema walikuwa hawapewi ruzuku kutoka kwa serikali ? Au unataka kusema serikali ingesema hizo ruzuku wangeziita ruzuku za mama msingelizichukua? Acheni usham
Chura wa kihansiKama unadhani Heche ndiyo SI measure ya modern politics basi umemlinganisha na uwezo wako finyu.