Video: Heche kuna ujumbe wako hapa, acha kuropoka

Jidnganye tu wewe kajamba nani, wenzio tayari hawana madaraka lakini wanakula tonetone
 
Walioshiriki mshindi aliyetangazwa kwa shuruti akapewa kura 31m ambazo hakukuwa na hao wapiga kura vituoni!
Zembeeni tena 2030. Tanzania haowezi kuwasubiri
 
My take:
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Sasa tazama waliokuunga mkono kwenye hoja yako husika; akina Steven Joel Ntamusana; Kishimbe watu ambao mnajulikana msukumo wenu ulipo katika hali ya sasa inayoikabili Tanzania!

Hili kweliu linakupa matumaini yoyote?

Inabidi mmzungumzie Heche, kwa sababu anawanyima utulivu kuhusu uovu wenu mnaowafanyia waTanzania.
 
Kwa hiyo akili yako inakupeleka huko, kwamba sasa CCM itatumia hiyo michezo kubaki madarakani kwa mabavu?
Hiyo ndiyo njia aliyofikiri Samia itampa ushindi wa kura, alipoona hakuna kitu kaamua kuua waTanzania.
Usichoelewa wewe ni kitu gani?
 
hapo hapo, je wajua ya kwamba hizo hela za goli la mama ni kivuli tu. After kupga picha zinarudishwa kusubiri timu nyingne ipige nazo picha? Heche is right awe anakula bangi au la.
 
hapo hapo, je wajua ya kwamba hizo hela za goli la mama ni kivuli tu. After kupga picha zinarudishwa kusubiri timu nyingne ipige nazo picha? Heche is right awe anakula bangi au la.
Una ushahidi wa hili? Tumesikia mpaka Yanga wanalipwa hizo pesa mara mbili na wala hawakanushi.
 
... siku hizi hata ikipiga mvua kubwa ni 'CCM WANATAKA KUTUTOA KWENYE RELI'! 😅

🤠🤠🤠 hatari wamekosa cha kuwaambia wananchi 👈

Lkn Heche kaonesha ni mwenye rohoo mbaya sana.

Kinachomuumiza kuona Watanzania wapo na mishe zao mbali mbali kama kawa wa ndondi wapo hapy
football wapo Hapy na Muziki ndio husiseme 🤠🤠

Alitaka Watanzania wote wamuaze Yeye Heche na Tundu Lissu kule Lupango 🫎🫎😜😜😜😜
 
Familia ya Lissu ipo Marekani wanainjoy sisi uku tuwe kama tupo msibani kisa Lissu kuwa Lupango

Kuna Mashekh wamekaa miaka 8 na wametoka wamekuta wake zao wana watoto wengine ! Na jamii inaendelea na mishe zao kama jana au juzi✍️
 
Zembeeni tena 2030. Tanzania haowezi kuwasubiri
Tuzembee, kwani uliopita tulizembea au tulimua kuweka heshima kwenye box la kura? Ngoja uone kama upuuzi uliopandikizwa kwenye chaguzi zetu kipindi cha Magufuli, na huyu kichwa nazi naye akaiga kama utajirudia tena. Uzuri sasa hivi watu wakisema uchaguzi haufanyiki, hautafanyika kweli maana kila mtu ameshashika adabu.
 
Huwezi ku manage feelings za watu, haya mambo ni spontaneous by natural stimuli. How can nchi mzima tujadili siasa tu??

Waache watu wapende vinavyo wafurahisha
Wapo pamezuiwa?!
 
Nyie acheni kuiba kura na kuengue wagombea wa CHADEMA muone...Dakika 45 ni nyingi...na wa juu wanalifahamu hilo siyo nyie machawa njaa
 
Mropokaji atamnyima nani usingizi?
 
Huwezi ku manage feelings za watu, haya mambo ni spontaneous by natural stimuli. How can nchi mzima tujadili siasa tu??

Waache watu wapende vinavyo wafurahisha
Acheni unafiki nyie machawa.
Kama nyie maccm ni Liberals, mmengekuwa mnakubali maoni kinzani, msingefanya ukatili wa utekaji na mauaji ya kutisha dhidi ya Watanzania.

Polepole, Mdude, Soka, Mzee Kibao, Chaula... na wengine wengi wangekuwepo
 

Najuwa ndani ya CHADEMA hakuna mtu wa kumkosoa. Huyu dogo hapa amempaka za uso.

My take:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA yuko overrated. Anahitaji kuwa adjusted kidogo. Sometimes anakuwa kama amevuta bangi.
Kuhusu mpira wa Simba na Yanga Kinachowasumbua chadema ni wivu wa kike walitamani wale mashabiki wawe wa kwao, hakuna kingine! Siasa za kishamba za kulazimishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…