MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hivi unajuwa ulichoandika? Mbona hakina uhusiano na mada. Shake your head well before you decide to writeAcheni unafiki nyie machawa.
Kama nyie maccm ni Liberals, mmengekuwa mnakubali maoni kinzani, msingefanya ukatili wa utekaji na mauaji ya kutisha dhidi ya Watanzania.
Polepole, Mdude, Soka, Mzee Kibao, Chaula... na wengine wengi wangekuwepo
Hujui anayenyimwa usingizi?Mropokaji atamnyima nani usingizi?
October 29 haijawafunza kitu bado? Bado mnaamini mnapambana na CHADEMA?
Kwa hiyo wewe ni nguruwe pori?Hujui anayenyimwa usingizi?
Samia Suluhu Hassan hapo alipo unafikiri anapata usingizi.
Ajabu ni kwamba, kwa kuwa wewe ni nguruwe unayefugwa tu na huyo Samia, angalau ungeweza kutambua kiasi cha masalia ya chakula anayokutupia hapo chini ukagundua kuwa hali yake siyo shwari.
Ni bora kabisa, kuliko anayefugwa na Samia Suluhu HassanKwa hiyo wewe ni nguruwe pori?