VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

Hotuba nzima ya Mh. Rais Samia Hassan na diaspora ya waTanzania nchini Marekani

  1. Uchumi
  2. Afya
  3. Siasa tunaendelea na mazungumzo ya mabadiliko
  4. Nawaelewa kwanini CHADEMA wanasitasita, lakini tunaendelea na mazungumzo nao
  5. R4 : Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding the Nation
  6. International relation inasukwa upya iwe kama ya wakati wa Mwalimu Nyerere
  7. Hadhi maalum kwa diaspora, urithi wao nyumbani, fast line airport za Tanzania kwa diaspora n.k
  8. Kodi
  9. N.k

Source : Ikulu Mawasiliano
 
24 April 2022

Samia Tour | Wanadiaspora Watetea Katiba Mpya na Uraia Pacha, Stephen Maonyesho~ Aongea, Washington, DC

Source : Swahili Villa online
 
Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk

Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!!

Tazama na sikiliza ubunifu wa vijana wa namna ya kupeleka ujumbe..
View attachment 2199005
Wao wanapenda kusifiwa pekee
 
Yaani ukikaa tu kwenye kiti hicho SPANA zinaanza. Wapeni break kidogo jamani
 
Back
Top Bottom