VIDEO; Hii sio sawa kabisa, mnaachaje kumsaidia mwenzenu ili tu muendelee kuswali?

Huyo kasujudu kwa haraka inatokea tena intentionally kwa sababu wetu wengi hawaendi kwa kumfuatisha haraka imamu , inatokea sana hapo kama angedondoka basi ingejulikana ..Wengine wanaweza kupata ugumu na kukaa chini na kuendelea ya swalah kwa hisia.

Mzee alishawahi kuanguka kipind fulani , watu walimuokota fresh .
 
Acha ujinga we jamaa,.unajua presha ya kushuka inavyoangusha watu? Huyu hajaanguka upande kulingana na balance ya kupiga magoti pamoja na kulalia kifua mwili umecover surface area kubwa. Hujawahi kuskia mtu amekufa huku amekaa? Mfalme Seleman alikufa akiwa amesimama akiwa amegemea fimbo yake, unajua Hilo!? Mbona husemi aliwezaje, ni balance tu ya position ya mwili.
Acha kutetea ujinga, angekuwa baba Yako ungebaki tu umefunga mikono kifuani huku mzee ana struggle chini useme ni ibada. Hao wote hapo ni wapumbavu. Kwanza hata utulivu Wala sala yenyewe unakuwa haupo maana wote hapo wanabaki kujiuliza shehe miraji ana tatizo Gani mbona hainukii, na kwa mujibu wa dini yenu kukosa tu concentration wakat wa kusali ni sawa na hujasali tu. So hao wote hapo ni wanafiki kama wewe, shit
Kwani wamesema Jamaa alikata moto?? Hoja Mtu atakataje moto katika mkao huo i.e. haangukii kulia wala kushoto au kulala kifudifudi jumla? Kufa huendamana na aina vitendo flani vya Last Struggles -hapo havionekani hata kimoja.
 
Mimi ni hao unaowaita 'kobazi' lakini hali kama hiyo ingetokea nikiwepo lazima ningeacha kuendelea na ibada nimsaidie huyo ndugu aliyepatwa na changamoto.
Unaonesha kujali. Ni vizuri sana. Lakini Je, unao utaalam au ufahamu juu ya masuala ya kiafya?
Sasa unaposema kobazi wote kichwani huwa hamna kitu umejisikiaje kuwajumuisha na ambao hawapo hivyo?
Pole.
 
Sawa; lakini hujajibu swali langu kwamba walisema amekata moto? Halafu umesema ana struggle..... Je, hizo si ndo dalili nilizotaja mkuu?
 
Check hili jinga! Hao watu wanasubiri au wanaswali?
 
Kwani wamesema Jamaa alikata moto?? Hoja Mtu atakataje moto katika mkao huo i.e. haangukii kulia wala kushoto au kulala kifudifudi jumla? Kufa huendamana na aina vitendo flani vya Last Struggles -hapo havionekani hata kimoja.
Tafuta maana ya "faint"
 
Hizi dini wote wajinga ila wanazidiana kiwango cha ujinga wakristo ni wajinga ila waislamu wamezidi ujinga.kwenye kutumia akili ni mbingu na ardhi
 
Hizi dini wote wajinga ila wanazidiana kiwango cha ujinga wakristo ni wajinga ila waislamu wamezidi ujinga.kwenye kutumia akili ni mbingu na ardhi
lakini umeona mchungaji alieuza kitambaa chakufutia jasho kwa milioni 10?nawatu wamepandiana dau
hapo nani mjinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…