Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Kumsaidia mtu hadi uwe na utaalamu wa masuala ya afya?Unaonesha kujali. Ni vizuri sana. Lakini Je, unao utaalam au ufahamu juu ya masuala ya kiafya?
Pole.
Ndiyo. Sio kila tukio linalohusu uhai/afya ya mtu ni la kukurupukia. Unaweza kuwa na nia njema lakini kitendo chako hicho ukajikuta ndo unammaliziaKumsaidia mtu hadi uwe na utaalamu wa masuala ya afya?
Ndiyo. Huduma ya kwanza inatolewa kwa Utaratibu fulani na mtu mwenye walau ufahamu wa katika tukio hilo ni nini kifanyike ili kuokoa maisha ya muathirika.Kwamba kumpa mtu huduma ya kwanza napo lazima uwe mtaalam wa afya?
Hapana. Sio lazima bali Hilo linaweza kutolewa na yeyote mwenye chombo cha Usafiri na watu wengi (madereva)wanalifahamu hilo na muathirika inatakiwa awekwe kivipi katika chombo kitakachomsafirisha na pia mwendesha chombo awe na tahadhari zipi wakati wa kumsafirisha mgonjwa. Ni lazima kuzingatia Usalama wa mgonjwa ili afike akiwa hai Hospitali.Kumkimbiza na kumuwahisha hospitali ili kuokoa uhai napo panahitaji utaalamu wa afya?
Ukiwa kwenye Ibada Utaona na Kuhisi yanayoendelea pambeni yako lakini kama huna uwezo nayo unafanyeje?Au labda ukiwa kwenye hiyo ibado hauoni au kuhisi yanayoemdelea pembeni yako
Weeewe! Hiyo mara nyingi huwa imeandaliwa - ni maigizo. Yule ambaye hajui kinachoendelea ndo anajikuta m10 imelambwa chap". Ushabik ni kitu kibaya .lakini umeona mchungaji alieuza kitambaa chakufutia jasho kwa milioni 10?nawatu wamepandiana dau
hapo nani mjinga
Uislam sio ukiristo au dini nyengine kama swala yao ni kuimba kuimba , Unapofunga swala na kuanza kuswali hakuna kitu kitachokukatisha, labda kujamba tu yaani kutenguka udhu
Duuu! Upuuzi mtupu. Sala zao hazijapokelewa kabisa.
Kwa hio mnapeleka maigizo ya kitapeli kwenye nyumba ya ibada?Weeewe! Hiyo mara nyingi huwa imeandaliwa - ni maigizo. Yule ambaye hajui kinachoendelea ndo anajikuta m10 imelambwa chap". Ushabik ni kitu kibaya .
Wanaanzisha hizi nyuzi ,wanajiongelesha ,wanatema nyongo zao mwingine ana njaa zake huko.Zikija nyuzi kama hizi ndo unajua uhalisia wa akili za watu ulivyo. Lol.
sala zimepokelewa vizuri tu.hata akifa imamu watu wanaendelea na ibada hadi wamalizeDuuu! Upuuzi mtupu. Sala zao hazijapokelewa kabisa.
Mkuu; sio nyumba zote ni nyumba za Ibada. Nyingine huwa ni "Chimbo" la maokoto..Kwa hio mnapeleka maigizo ya kitapeli kwenye nyumba ya ibada?
duh.nitajuaje sasa kutofautisha?Mkuu; sio nyumba zote ni nyumba za Ibada. Nyingine huwa ni "Chimbo" la maokoto..
Dah, kujamba ni sawa wakati wa swala ila siyo kutoa msaada mtu akihitaji!Uislam sio ukiristo au dini nyengine kama swala yao ni kuimba kuimba , Unapofunga swala na kuanza kuswali hakuna kitu kitachokukatisha, labda kujamba tu yaani kutenguka udhu
Swala haizidi dakika 5, halafu huyo.mtu akifa ktk swala hio ndio kheri kwakeDah, kujamba ni sawa wakati wa swala ila siyo kutoa msaada mtu akihitaji!
Hajona yule aliyebamizwa na msalaba- japokuwa ibada ilivurugika kiasi fulani.sala zimepokelewa vizuri tu.hata akifa imamu watu wanaendelea na ibada hadi wamalize
hakuna wakuzuia kifo dogo acha mapepe
Kiufupi inasikitisha.Wanaanzisha hizi nyuzi ,wanajiongelesha ,wanatema nyongo zao mwingine ana njaa zake huko.