aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
ilivurugika kabisa sio kiasi sababu hawana kanuni yoyote kwenye ibada yesu alivyo anguka huku anabonda na kunyonga kama mpanzuπ wakawa wanapiga mayowe tu yesu kauwaaaaa na ibada ikafaπHajona yule aliyebamizwa na msalaba- japokuwa ibada ilivurugika kiasi fulani.
Hizi dini zote za hovyo ila zimezidiana ujinga..huyo aliyenunua kitambaa mil 10 ni mjinga,kuna anayeua binadamu mwenzake kisa amebadili dini.lakini umeona mchungaji alieuza kitambaa chakufutia jasho kwa milioni 10?nawatu wamepandiana dau
hapo nani mjinga
Ndiyo maana wanaitwa ...MUSLIM BROTHER SHIT
HusihisUwe unaanza kuuliza wenye elimu ya dini kabla hujafanya mihemko yako.
Husihis watu hawana elimu kama wewe.
Tumia akili,hustafute kupigiwa makofi na comments kwenye mitandao ya kijamii.
ManiniHusihis
Hustafute
We jamaa mbona kichwa chako hakina kitu!?
Hayo manini sasa umeandika!
Halafu sasa unajiona una elimu;
πππLabda wanaogopa Mungu ataondoka. Maana Mungu wao hayupo Kila mahali.
Upande wenu wa kumuita maria bikra wakati ameshazaa ndo mnazo ππππKobazi bhana, watu wote wa upande huo kichwani huwa hamna kitu
Ilikuaje Bukoba ikawa na Waislamu wengi sana tena hadi wa msimamo mkali ?Uko bukoba vijana wa mudi wanataka kuwafukuza wafanyabiashara kisa wako eneo la msikiti wakati hata sio kweli,wako eneo sahihi kibiashara na eneo lenyewe walipewa na wao ndo wanaanzisha vurugu mpk mkuu wa wilaya akaja na hajawatetea.Aman na utulivu haviko kwenye damu za wafuas wa mudi.